N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Mar 30, 2014 #3,301 Ft mcc1 prison 0
J Jumanne Mayala Member Joined Feb 25, 2014 Posts 39 Reaction score 1 Mar 30, 2014 #3,302 Umeonae makoye matale leo sjui alikuwa anaumwa maana simuoni maana Azam alikuwa anafikiri Azania pole sana makoye.
Umeonae makoye matale leo sjui alikuwa anaumwa maana simuoni maana Azam alikuwa anafikiri Azania pole sana makoye.
L leonk JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 274 Reaction score 73 Mar 30, 2014 #3,303 ndomyana said: Mkuu nimechanganyikiwa kipigo cha tanga mcc1-,0 Click to expand... Pole kaka
O ommymbwambo Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 192 Reaction score 66 Mar 30, 2014 #3,304 Timu ya Yanga imefungwa goli 2 kwa 1 na timu inayoshuka daraja JKT Mgambo wakati Azam ikiifunga Simba 2 kwa 1.
Timu ya Yanga imefungwa goli 2 kwa 1 na timu inayoshuka daraja JKT Mgambo wakati Azam ikiifunga Simba 2 kwa 1.
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Mar 30, 2014 #3,305 Mpira umekwisha sasa wacha niselebuke na lumba la mcc na nyimbo za kisafwa apa nje ya sokoine, mbeya raha bwana leonk said: Pole kaka Click to expand...
Mpira umekwisha sasa wacha niselebuke na lumba la mcc na nyimbo za kisafwa apa nje ya sokoine, mbeya raha bwana leonk said: Pole kaka Click to expand...
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Mar 30, 2014 #3,306 Naombeni matokeo ya yanga na mgambo....
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Mar 30, 2014 #3,307 Wacha uwongo wewe! Kwani Okwi hajacheza??
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Mar 30, 2014 #3,308 Nikiripoti toka mbeya uwanja wa sokoine, mechi kati ya mcc na prison mimi ni ndomyana wa jf,. Ila nandika huku nabubujikwa machozi,. Mgambo wameniliza
Nikiripoti toka mbeya uwanja wa sokoine, mechi kati ya mcc na prison mimi ni ndomyana wa jf,. Ila nandika huku nabubujikwa machozi,. Mgambo wameniliza
C chani Member Joined Mar 26, 2014 Posts 55 Reaction score 7 Mar 30, 2014 #3,309 Mbn unatania kiongoz
O ommymbwambo Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 192 Reaction score 66 Mar 30, 2014 #3,310 Na kule Mbeya timu ya Mbeya City imeifunga Tanzania Prison goli 2 .
O ommymbwambo Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 192 Reaction score 66 Mar 30, 2014 #3,311 Okwi kacheza na pia Mgambo mchezaji wao mmoja alitolewa kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza .hivyo Mgambo wameifunga Yanga wakiwa pungufu.
Okwi kacheza na pia Mgambo mchezaji wao mmoja alitolewa kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza .hivyo Mgambo wameifunga Yanga wakiwa pungufu.
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,734 Reaction score 5,249 Mar 30, 2014 #3,312 ommymbwambo said: Timu ya Yanga imefungwa goli 2 kwa 1 na timu inayoshuka daraja JKT Mgambo wakati Azam ikiifunga Simba 2 kwa 1. Click to expand... Mgambo jkt 2-1 Yanga Azam fc 2-1 Simba Mbeya city 1-0 Prisons tz Mtibwa vs Coastal sijajua
ommymbwambo said: Timu ya Yanga imefungwa goli 2 kwa 1 na timu inayoshuka daraja JKT Mgambo wakati Azam ikiifunga Simba 2 kwa 1. Click to expand... Mgambo jkt 2-1 Yanga Azam fc 2-1 Simba Mbeya city 1-0 Prisons tz Mtibwa vs Coastal sijajua
D dundula JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 539 Reaction score 139 Mar 30, 2014 #3,313 ommymbwambo said: Timu ya Yanga imefungwa goli 2 kwa 1 na timu inayoshuka daraja JKT Mgambo wakati Azam ikiifunga Simba 2 kwa 1. Click to expand... Azam mabingwa mwaka huu msimbaz tupo nyuma yenu sie tulishajitoa mpaka rage aondoke ndo tujenge timu yetu upya!
ommymbwambo said: Timu ya Yanga imefungwa goli 2 kwa 1 na timu inayoshuka daraja JKT Mgambo wakati Azam ikiifunga Simba 2 kwa 1. Click to expand... Azam mabingwa mwaka huu msimbaz tupo nyuma yenu sie tulishajitoa mpaka rage aondoke ndo tujenge timu yetu upya!
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Mar 30, 2014 #3,314 Mgambo 2 Yanga 1
L leonk JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 274 Reaction score 73 Mar 30, 2014 #3,315 ndomyana said: Mpira umekwisha sasa wacha niselebuke na lumba la mcc na nyimbo za kisafwa apa nje ya sokoine, mbeya raha bwana Click to expand... Thanx bro! Taarifa njema hiyo!
ndomyana said: Mpira umekwisha sasa wacha niselebuke na lumba la mcc na nyimbo za kisafwa apa nje ya sokoine, mbeya raha bwana Click to expand... Thanx bro! Taarifa njema hiyo!
O ommymbwambo Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 192 Reaction score 66 Mar 30, 2014 #3,316 Uwanja wa Taifa kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka la Bongo mashabiki wa Yanga leo walikuwa wanaishabikia Simba.
Uwanja wa Taifa kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka la Bongo mashabiki wa Yanga leo walikuwa wanaishabikia Simba.
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Mar 30, 2014 #3,317 Nduka said: Nyambafu ungeandika kiswahili tu Click to expand... kila la kheri Azam Mnastahili kuwa mabingwa
Nduka said: Nyambafu ungeandika kiswahili tu Click to expand... kila la kheri Azam Mnastahili kuwa mabingwa
D dundula JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 539 Reaction score 139 Mar 30, 2014 #3,318 ommymbwambo said: Uwanja wa Taifa kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka la Bongo mashabiki wa Yanga leo walikuwa wanaishabikia Simba. Click to expand... wameingia choo cha kike leo ilikuwa lazima tuwaachie ndg zetu azam ili mayebo wakose ubingwa wana ngebe sana na huyo kibaraka wao Rage
ommymbwambo said: Uwanja wa Taifa kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka la Bongo mashabiki wa Yanga leo walikuwa wanaishabikia Simba. Click to expand... wameingia choo cha kike leo ilikuwa lazima tuwaachie ndg zetu azam ili mayebo wakose ubingwa wana ngebe sana na huyo kibaraka wao Rage
O ommymbwambo Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 192 Reaction score 66 Mar 30, 2014 #3,319 Mwaka huu bingwa Azam na Mshindi wa pili ni Mbeya City.Yanga hawana chao na Okwi ,Ngasa,Kiiza,Twite.Manji hoyeee
Mwaka huu bingwa Azam na Mshindi wa pili ni Mbeya City.Yanga hawana chao na Okwi ,Ngasa,Kiiza,Twite.Manji hoyeee
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Mar 30, 2014 #3,320 Ligi ya Tanzania haishi vituko.Eti refa wa Yanga na Mgambo Alex Mahiga kalazimisha kumsachi mchezaji Mohamed Neto wa Mgambo alipokataa akampa kadi ya njano na mzozo ulipoendelea akampa kadi ya pili ya njano na kumtoa nje.
Ligi ya Tanzania haishi vituko.Eti refa wa Yanga na Mgambo Alex Mahiga kalazimisha kumsachi mchezaji Mohamed Neto wa Mgambo alipokataa akampa kadi ya njano na mzozo ulipoendelea akampa kadi ya pili ya njano na kumtoa nje.