Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Walisema amesajiliwa kwa mechi za kimataifa,
sijui mechi ipi amecheza?
 
Poa kiongozi inatutosha mby derby ukiendelea kushabikia yanga na simba utabadilisha jina bure ujiite Nkikulu! Azam kashinda 2 kwa 1 FT
 
Yanga anakula kirungu cha ugoko! Sema Tanzania tunapenda kuona bingwa si Yanga au Simba ila tatizo linakuja wasiwasi wangu Azam kushinda ubingwa kuna kitu kinaendelea malipo flani..... Si Kama enzi za Pan African hii Azam itashinda kwa jeuri ya fedha tu bora hata Mbeya.
 
du sijui nikajiliwazie wapi!namna hii ndo huchelewi kusikia mtu kagongwa barabarani!
 
FT AZM 2 SIMBA 1
Mcha Khamis 16' Bocco 56' | Owino
 
mi nilifikiri mgambo ni kwa wamachinga tu....kumbe wanaweza kuwapa mkong'oto hata yanga...hapana chezeya...team mbeya city asee
 

una maana azam hajui mpira ila pesa ndiyo zinawasaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…