Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Sasa kama uwezo wao mdogo je? Kwanza atakae shangaa Simba kufungwa na Azam atakua na matatizo ktk mfumo wake wa akili, sababu haiingii akilini tuweze kumfunga wakati wa kwenda tushindwe wakati wa kurudi.
Sasa kama uwezo wao mdogo je? Kwanza atakae shangaa Simba kufungwa na Azam atakua na matatizo ktk mfumo wake wa akili, sababu haiingii akilini tuweze kumfunga wakati wa kwenda tushindwe wakati wa kurudi.
Enzi ile na siyo nyakati hii ya Azam Fc na Mbeya City Fc
Umeyapata wapi? hivi Cholo hajapona tu....Kikosi cha Simba SC
1. Ivo
2. Willium
3. Rashid
4. Musoti
5. Owino
6. Mkude
7. Chanongo
8. Henry
9. Tambwe
10. Uhuru
11. Singano
SUB: berko, chollo, humud, awadh, chombo, badru na twaha
Pointi 6 hizi ni tamu zaidi ya zote kwa SSC. 3 kutoka Azam na zingine 3 kutoka Jangwani.Tunajua wengine watawaomba radhi wapenzi wao! lakini wengine watajipongeza kwa usemi tumekufa 'kiume'.Mnyama ni mnyama.
kwa MARA YA KWANZA, leo naiombea simba ishinde.
cc Katavi,kitoabu
Subiri uchaguzi upite utaijua simba halisi....Hapa naona sura ni za wachezaji wa timu ya Simba miaka ile, lakini hizi jezi mbona rangi siielewi elewi, hivi Simba ilishawahi kutumia jezi ya rangi nyingine tofauti na Nyekundu na Nyeupe? CC: Makoye Matale, Crashwise, brave one, Saint Ivuga, ACCOUNT FULL na wadau wengine wa jukwaa hili.
kwa MARA YA KWANZA, leo naiombea simba ishinde.
Hata mimi niko pamoja na wewe mkuu
Yanga wapende wasipende leo watatushangilia tu...
Huku watoto wa jiji,watoto wanaokukimbiza dak 90,watoto waliozua gumzo ligi kuu MBEYA CITY wakiendeleza mambo yao pale Mbeya.Viva mbeya cty,yanga sare leo,Azam leo anakula vyake 2.