Mashabiki tuwe na subira, Mnyama ataunguruma tu. Ngurumo zake hazina madhara kwa Yanga hivyo aungurume tu. Siku akicheza na Azam nitahamia Simba kwa muda.
Hawa CU siwaelewi kabisa, walimbania Yanga wakatoa kwa Azam tena kwa kishindo. Leo tena wanagoma kutoa kwa Simba, sijui wana maana gani. Huenda walichukua chao kutoka kwa Azam.