Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,825
- Thread starter
-
- #2,261
Azam bado wana mechi ngumu mkuu....Wana mechi na Mbeya City (Sokoine) na pia wana mechi na Simba, bila kusahau timu isiyotabirika ya Mgambo FC...Job finish , Azam Bingwa
Azam bado wana mechi ngumu mkuu....Wana mechi na Mbeya City (Sokoine) na pia wana mechi na Simba, bila kusahau timu isiyotabirika ya Mgambo FC...
Ni mapema sana kusema Azam ni bingwa....
Mkuu
Unazifahamu mechi zilizobakia za AZAM? Versus Simba, Mgambo, Mbeya. Hivyo vyote ni vigongo. Ngoma bado mbichi.
Mmesaidiwa penalty hola!
Wamemtoa mchezaji wetu bado mmeshndwa!
AZAM MWENDO MDUNDO TU HADI UBINGWA!
NAKUJA KWENU MA MODS! KWANINI MLIPELEKA UZI MAFICHONI?
KWANINI KILA NILIPOKUA NAUPDATE,POST ZILIKUA HAZIONEKANI HASA NDALA WALIPOKUA WANAENDA KIBRA?
Mbeya Azam hatoki ila hiyo ya Simba Rage anaweza uza mecchi.
Azam bado wana mechi ngumu mkuu....Wana mechi na Mbeya City (Sokoine) na pia wana mechi na Simba, bila kusahau timu isiyotabirika ya Mgambo FC...
Ni mapema sana kusema Azam ni bingwa....
na red ya nyoni..Mkuu hawa washukuru ile ajali tuliyopata Mikese imetuasili kisaikolojia la sivyo wasingetoka. Azam uwezo wa kutwaa ubingwa hawana ila tunapaswa kuwapongeza kwa kutetea nafasi yao ya pili mara tatu mfululizo wanastahili pongezi kwa kweli.
JF si kichaka cha wazushi. Peleka upuuzi wako fb.
Mkuu
Unazifahamu mechi zilizobakia za AZAM? Versus Simba, Mgambo, Mbeya. Hivyo vyote ni vigongo. Ngoma bado mbichi.
Napata wasiwasi na waamuzi wa tanzania, kama sio kutumika kwa rushwa basi ushabiki. Haiwezekani, Mtibwa Abdala Juma alipewa kadi na mtibwa wakalalama kuwa kadi haiku halali, Azam jana yaleyale, ina maana Yanga ni lazima wachukue ubingwa? kama mnabisha mtaona mechi ijayo na mgambo
Yanga tegemeeni mbeleko hapa nyumbani ikifika mashindano ya kimataifa ambako hakuna mbeleko ndoo hivyo tena unarudi mapema.
na red ya nyoni..
Tff ki2 yote jangwani. Ss wanataka kupima na kwa maanadamano ya kutaka viwanja vya wa2. Mbn azam walienda chamaz na nyie nendeni mabwe pande mapori bado yapo aha ekari 13 hata 40 mtapewa.Napata wasiwasi na waamuzi wa tanzania, kama sio kutumika kwa rushwa basi ushabiki. Haiwezekani, Mtibwa Abdala Juma alipewa kadi na mtibwa wakalalama kuwa kadi haiku halali, Azam jana yaleyale, ina maana Yanga ni lazima wachukue ubingwa? kama mnabisha mtaona mechi ijayo na mgambo
Yanga tegemeeni mbeleko hapa nyumbani ikifika mashindano ya kimataifa ambako hakuna mbeleko ndoo hivyo tena unarudi mapema.
OK...........gemu ngumu ni ya kwenu tu maana mnamchezo mmoja mngeshinda tungesema hivyo lakini tumegawana point..