Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Kipindi cha pili kinataka kuanza ila nyavu zimetoboka na hakuna za ziada!
 
Manager Wa uwanja yuko hapa anapiga kilaji wala hajui kama anahitajika huko ndani.
 
Kila mtu anayepita humu abonyeze kitufe cha report ili tuwaambie mods warudishe uzi kule.

Wengine wampm mods anazingua

mwantika anapanda juu ya goli kufunga nyavu iliyotoboka!

Vituko juu ya vituko!

Ndala watakaa tu na jangwani kutakua kimyaaaaa!!
 
Kona kuelekea Yanga!

Kaseja anatoa hapa,kona nyingine.

Mcha anatoka anaingia jezi namba 7 sijampata jina lale.
 
Kona kuelekea Yanga!

Kaseja anatoa hapa,kona nyingine.

Mcha anatoka anaingia jezi namba 7 Kelvin ambaye anashndwa kuweka mpira kunyavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…