Dakika ya 43, Davis Mwape ameipatia Yanga goli la tatu baada ya kazi nzuri ya Nurdin Bakari....leo yango wasipo wafunga goli zaidi ya 5 hawa AFC basi yanga ni vibonde...
AFC ni timu mbovu sana kuliko timu zote lizoko ligi kuu walianza mazoezi siku 1 kabla ya mechi tofauti na timu kama yanga iliyokuwa kwenye mashindano ya kombe la mapinduzi....
ingawa naichukia yanga lakini si kwa kushindwa kutangaza magoli yake tatizo ni mgao wa umeme....na nilijua yanga itashinda zaidi ya goli tano angalia hapo juu...AFC ni timu yangu lakini inacheza kama timu ya daraja la nne....pengine yanga kama wange kuwa vizuri nje na ndani ya uwanja mimi na kwambia ungeshanga magoli ambayo AFC ingefungwa...
Ivunga bwana! Heheheheh nadhani na wewe unatamani Simba wafunge mtu 6 . . . .teh teh teh. Anyway kuanzia mechi za wabrazil, mapinduzi cup kurudi nyuma kote huko Crashwise hakutangaza kabisa magoli, so siwezi kumuuliza chochote.