UPDATES: US midterm election results

all is not lost, Byron Donalds a Christian conservative anaenda kushinda ugavana florida, first black gavana of the state of florida.

Christian Conservative Byron Donalds ameshinda ugavana wa florida ...

 
Vyama havina matawi wala ofisi sehemu kubwa ya nchi halafu mnataka kushindana na CCM,matokeo yakitoka mnadai mmeibiwa, CCM ina wanachama hai 14m
Huo ni uongo dhahiri.

Ccm ilishajifia kitambo na ndio maana inabebwa na hao mapolisi, jeshi na usalama na hilo liko wazi kabisa na tume ni wao wenyewe.

Uchaguzi haupo unasikia mtu amepata asilimia 98 lakini baada ya hapo hawezi kabisa kukutana tena na hao waliompa hizo kura feki na ndio maana ikifika wakati wa uchaguzi wa Marekani watu wote wanajisikia raha kushuhudia.
 
Kwa matokeo haya ni dhahiri kuwa ushawishi wa Israel ndani ya Marekani unakwenda kufika mwisho.....misaada yote ya kijeshi inakwenda kukoma.....
Hii sidhani mkuu, maana kila rais lazima abend kwao ni kama wameshika mfumo na sio mtu
 
Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 bado ni ya chama kimoja na kinawabeba ccm ndio maana piga ua hawakubali ibadilishwe.

Nyerere aliona ubovu wa katiba hii lkn kwa unafiki wake akaiacha ibaki na leo ndio nguzo kuu inayoishikilia ccm kwani wakuu wa vyombo vyote vya dola ni wanachama wa ccm pamoja na wote walioko kwenye tume ya uchaguzi. Bure kabisa.
 
umeiweka vizuri, wananchi wanajaribu kubalance equation, wanaitega vile wanataka wao Pivot yao ikae wapi. Great America.
 
Vyama havina matawi wala ofisi sehemu kubwa ya nchi halafu mnataka kushindana na CCM,matokeo yakitoka mnadai mmeibiwa, CCM ina wanachama hai 14m
CCM inafanya wizi wa kura ambao umeonekana dhahiri shahiri. Ni mpumbavu tu ndio atapinga hilo.
Pia hakuna tume huru ya uchaguzi,umeona wapi tume ya uchaguzi inasimamiwa na chama tawala!?
 
Kwa matokeo haya ni dhahiri kuwa ushawishi wa Israel ndani ya Marekani unakwenda kufika mwisho.....misaada yote ya kijeshi inakwenda kukoma.....
Huwezi ukaitenganisha Israel na Marekani na hilo haliwezi kutokea asilani, eti sasa Marekani iwe inaunga mkono waarabu dhidi ya Israel....!!!!

Hilo halitakaa litokee, ushawishi wa Israel ndani ya Marekani ni mkubwa mno na hata hao Democrats unaowaona wamejaa mashabiki wa Israel.

Siku moja ukifika Marekani utakubaliana na mimi. Kupanda kwa gharama ya maisha ndio chanzo cha kushindwa kwa Republicans na wala sio suala la Israel.
 
Kwamba wewe ulivofika marekani ukajua hayo na sisi tukifika tu marekani tutajua kwamba israel ana ushawishi marekani?
 
Muoneni mwingine huyu hapa..
Marekani ina waislam wangap mpaka kura wazipeleke kwa chama kisicho cha Trump?
Kwamba waislam ndo wamepiga kura?
Hao ni wale wa masjid ubwabwa, ndio akili ilivyo, wanafikiri Marekani sasa itakuwa ni Islamic Republic of the USA ikitawaliwa na Islamic Sharia Laws...
🤣🤣🤣🤣
 
Naam!!

Naiona influence kubwa ya waarabu kupitia uislam kwenye siasa za Marekani unakuwa kwa kasi na kuongeza viti vya uwakilishi...na kuongeza ushawishi kwenye siasa za Marekani....

Lakini tumeona pia baadhi ya waislamu wakisema kuwa mpango wao ni kutumia demokrasia kuongeza ushawishi na baadae kuiondosha demokrasia na kutumia sharia......

Hili unalionaje kwa siku za mbeleni...!??
 
Haiwezekanii
Naiona influence kubwa ya waarabu kupitia uislam kwenye siasa za Marekani unakuwa kwa kasi na kuongeza viti vya uwakilishi...na kuongeza ushawishi kwenye siasa za Marekani....

Lakini tumeona pia baadhi ya waislamu wakisema kuwa mpango wao ni kutumia demokrasia kuongeza ushawishi na baadae kuiondosha demokrasia na kutumia sharia......

Hili unalionaje kwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…