MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Kampeni za udiwani wa kata ya Mianzini, Mbagala wilayani Temeke zimeingia katika hatua nzuri huku vyama viwili vikionekana kupambana kikamilifu HATAHIVYO dalili zinaonyesha mgombea wa CCM mmiliki wa Scorpion Bar ataibuka kidedea kutokana na kukubalika miongoni wa wapiga kura wa eneo husika. Wakati huohuo mgombea wa CHADEMA amekata tamaa kwa vile leo ni siku ya pili hajaonekana katika kampeni. Tetesi ni kuwa ameamua kuingia mitini baada ya kutoswa na uongozi wa wilaya ambao unadai haupati ushirikiano kutoka uongozi wa Chadema mkoa na taifa. Poleni wafuasi na wakereketwa wa Chadema, jahazi linazama, njooni mliokoe!!!