UPDATES:Simba vs Mtibwa

Huyu Maxime itamchukua muda mrefu yeye na timu yake kufikia hatua mzuri, Yaan mpira mbovu waliocheza mtibwa utafikiri kama timu haina kocha!!!!!!!
Eti unamtegemea Bahanuzi na Javu wafunge goli??????
Simba hii ni ya kuifunga Mtibwa kweli!!!!!! Hapana labda Simba wawe wamenunua Mechi.
 
Back
Top Bottom