Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
simba wamenyimwa clear penalt?
simba wamenyimwa clear penalt?
Duh thanks nimeipata but full mawimbi yaani haisikiliziki hata kiduchu
Pole mkuu, mimi natumia simu lakini naipata vizuri kabisa.Aaah haisikiliziki subiria updates hapahapa
simba wamenyimwa clear penalt?
simba wamenyimwa clear penalt?
refa akitoa kadi wange mpiga hawa yanga wagomvi sana achatuwafunge magoli yasiyo na utata..
Pale refa aliamua kuvaa miwani ya mbao, maana alikuwa karibu kabisa lazima aliiona na akaamua kuipotezea.refa akitoa kadi wange mpiga hawa yanga wagomvi sana achatuwafunge magoli yasiyo na utata..
Ai ai ai! Saint umeua kabisa hapo,atakayezaliwa sijui atakuwaje. Tunasubiri 3 kama kawaida