yaya toure afunga goli la pili
Mpira dk 90 subilini mtaona yanga wataibuka washindi mwisho wa mchezoDak ya 55, Simba wanapata bao la pili Mfungaji Felix Sunzu.
nasikia goo! Au redio mchina?
Mkuu wewe subiri dak 90, sisi tunaongeza magoli. Dak 65, Simba 3-0 Yanga.Mpira dk 90 subilini mtaona yanga wataibuka washindi mwisho wa mchezo
au mnabisha tuwatandike 5