Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Kuna mabadiliko kidogi vikosi vya Yanga, namba saba ni Rashi Gumbo, kumi Kiiza na kumi na moja ni Nurdin Bakari, Asamoah na Shamte Ali hawajaanza. kikosi cha Simba kiko kama nilivyowatajia hapo mwanzo.
 
Watu wanashangilia hapa baada ya kuona warembo wawili wamebeba kombe la ligi kuu.
 
Kwa mlioko nyumbani TBC Taifa wako hewani, dakiki ya pili Simba wanapata bao.
 
Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani hio tbc inapatikana wapi kwa dar? maana nime tune wee nikaishia kuipata mechi ya man city
 
Emmanuel Okwi kapata majeraha hapa na anapata matibabu baada ya kugogangana na Nsajigwa na amesharudi uwanjani.
 
Back
Top Bottom