DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
mkuu umetumwa au unalipwa na mamlaka ya hali ya hewa?
We si mtanzania so sina haja ya kukujibu Mkuu watakujibu wengine.Pole sana mkuu acha kujisumbua
Mkuu hiyo njia ya mbezi-kinyerezi-majumba6 haifai.Jamani sisi tupo safarini tunakuja Dar natunaenda maeneo ya kwa Azizi Ally,tuna gari ndogo toyota na lengo letu tuingilie pale mbezi tutokee kinyerezi-majumba6-nyerere road,jee pako salama?
tunaomba msaada wakuu maana safari ni ndefu na foleni ya kimara kisha buguruni mbona tutakoma!!
Mkuu hiyo njia ya mbezi-kinyerezi-majumba6 haifai.
Maana mbezi-kinyerezi hakuna rami so nasikia kuna tope jingi na gari zina teleza sana,so endelea na morogoro rd kisha kama mandera rd tembea.Othereise uwe na 4WD car ingawa bado ni tabu sana mkuu!!
Pamoja Mkuu!DAKA MTUMBA
mimi binafsi nakushukuru na kukupongeza kwa kujituma.
Kama wewe ni kijana, basi this can be a very good business idea. hongera