Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Leo chama langu 'MNYAMA'likipigwa basi ban ya maisha inanihusu.
I'm serious!!lazima Mbeya city akae
Cc Masuke ACCOUNT FULL
 
Last edited by a moderator:
Tv au radio gani watakuwa live na hii match?
 
Simba mnyama chanachana huyo mbeya city
 
Leo chama langu 'MNYAMA'likipigwa basi ban ya maisha inanihusu.
I'm serious!!lazima Mbeya city akae
Cc Masuke ACCOUNT FULL
 
Last edited by a moderator:
mijangiri (mbeya city) inaua simba leo, waziri lazaro nyarandu jiandae kujibu hoja
 
Daaaah sijui kwa kweli leo ?? Mmmh patachimbika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…