Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Kuna mtu yupoc hini pale wa simba anatibiwa
 
Hivi huyu jamaa walikuwa wanamuita TAMBWE magoli aliachwa dirisha dogo la usajili ?
 
Last edited by a moderator:
hamna update ni vijembe tu na ujinga. mamburura mmekutana leteni update bana
We kijana! Jifunze adabu. Yani sisi wote humu ni mamburura? Unajua mimi ndio nimemfunza mchezo mbaya mama yako?
 
Mgambo waliwashinda simba kwa goli moja tu
 
Duh,huyu refa bweg.e sana,yani sisi tumeomba ban atoi ata penalt?
 
.....mshika kibendera ana mpango gani na Mbeya City???? Kila wakati kibendera kiko juu pindi Simba inapoweka mipango ya kusawazisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…