Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,577
Mcubic , Zitto amejitathmini na kuacha siasa za kupania wapinzani , na niliandika hapa ili aeleweke apambane na mfumo unaokandamiza hata mimi nitamkubali ingawa siwezi kuwa mfuasi wake nitasapoti apate majimbo nae aingie bungeni.Ni vizuri akaonesha heshima kwa wapinzani wenzake arrogancy isingalimsaidia .
Kwenu mashabiki wake maneno yenu kwenye mitandao yanaweza kumharibia huyu kijana kwakuwa mnaelekeza vita yenu kwa CDM kitu ambacho si lengo, mkibadilika mambo yatakua mazuri, yeye na ninyi mbadilike,badala ya kufukuza mwizi unafukuza aliyeibiwa isingewezekana .Kwa hiyo leo nasema OK tupo pamoja
Mbowe ndio tatizo sasa!