stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Act kitabeba wabunge wengi sana mwaka huu
Malaria Sugu!Act kitabeba wabunge wengi sana mwaka huu
Kwenu mashabiki wake maneno yenu kwenye mitandao yanaweza kumharibia huyu kijana kwakuwa mnaelekeza vita yenu kwa CDM kitu ambacho si lengo, mkibadilika mambo yatakua mazuri, yeye na ninyi mbadilike,badala ya kufukuza mwizi unafukuza aliyeibiwa isingewezekana .Kwa hiyo leo nasema OK tupo pamoja
ACT sio chama cha upinzani acha kupotosha
ACT sio chama cha upinzani Mkuu.
Unless hujui nini sifa na Majukumu ya Opposition parties,nenda ka revise CIVICS yako ya kidato cha pili
Zitto ni kikatuni kama cha mama ndege wa ubongo kids
act timeweza lindi na mikoa yote ya kusini kitu amabaco hua kinawashinda vyama vingine mtwara hio na picha ya chini ni lindi uwanjani
Ukiwa mchanga kisiasa unaweza dhani kuwa chama kilichoanza jana kinaweza cheza ligi kuu na kupata matokeo
Hapa natofautiana kidogo na wewe,siasa za Afrika zinaangalia mtu/watu kuliko vyama.
Ushindi wa kuchukua dola unaletwa na taswira yenye nguvu ya mgombea au waliokuwa naye, dhana ya chama taasisi Afrika ni dhana ya ndotoni tu maana hatupo kwenye vyama kwa itikadi,waulize wanachama wa vyama kama ata wanajua hayo,ndio maana vyama vyetu vimejengwa kwenye uchifu fulani hivi.
Kenya hapo, Uhuru na Rutto waliingia madarakani na vyama vyenye miezi tu, Nigeria ni chama cha mwaka mmoja tu kimeingia madarakani.
Sawa sawa kabisa, hata mimi najiuliza kwa nini! Kwa nini Zitto akihutubia watu wengi wanajitokeza. Zitto, a one man army! Zitto, a supreme leader! Kwa nini Zitto watu wanamsikiliza kwa makini kiasi hicho? Ritz anajiuliza, Mag3 anajiuliza na kwa maneno ya Ritz wako wengi wanaojiuliza, why? Why Zitto!Najiuliza kwa nini kila sehemu akienda Zitto kuhutubia watu wengi wanaojitokeza na kumsikiliza kwa makini kiasi hicho.
yap yap kama kawaida mapoli yanafyekwa....na hapo wajirekodi af wajichekeshe...vichwa maji
![]()
![]()
Hapa natofautiana kidogo na wewe,siasa za Afrika zinaangalia mtu/watu kuliko vyama.
Ushindi wa kuchukua dola unaletwa na taswira yenye nguvu ya mgombea au waliokuwa naye, dhana ya chama taasisi Afrika ni dhana ya ndotoni tu maana hatupo kwenye vyama kwa itikadi,waulize wanachama wa vyama kama ata wanajua hayo,ndio maana vyama vyetu vimejengwa kwenye uchifu fulani hivi.
Kenya hapo, Uhuru na Rutto waliingia madarakani na vyama vyenye miezi tu, Nigeria ni chama cha mwaka mmoja tu kimeingia madarakani.
wewe si mtu m-bishi bali huzifahamu siasa za Tanzania na mazingira yake katika chaguzi, Nieria ni mdudu tofauti kabisa , awali nilifikiri kama wewe 1995 niliumia sana ilivokuwa ikaja tena 2010 maana 2005 hakukuwa na upinzani kabisa . Uchaguzi unahitaji taasisi imara sana na nyenzo, maandalizi nayo ni muhimu pia roho ya ujasiri wa kupambana kudai haki kwenye zoezi la kura kuanzia uandikishaji kama CDM wanavyofanya , Nikuambie kuwa Tanzania kubwa sana na ina makabila na itikadi kibao pia waliooenda shule na wasiosoma . Imani yangu ni kupambana kupata wabunge na madiwani wengi ila alichokuambia nnauye hakukosea alitoa cha moyoni goli la mkono na kama si majasiri hilo goli lipo. Zitto akihubiri ustaarabu atakuja pata kibano na akose wapinzani wa kumsaidia, bora aache kuponda staili ya wenzake-yeye awaache CCM wameshindwa sehemu ambazo watu wapo imara ki mapambano. Tutakuja yaongea hapa kampeni zitakavoanza usije lalamika hapa jukwaani maana munaona CCM imepoa mnafikiri ni nyau August mtaijua vema