Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Ubaguzi kwa Zitto ndio sera yake,hata huko Kigoma anawaambia wananchi eti Chama nichakwao,inamaana sio chawatu wa Dar,Mwanza,Tabora nakwingine.Siwezi kushiriki huu ubaguzi anaotuletea Zitto,wakati mwingine anafanyia haya misikitini
Duuu,huyo ndiye mzalendo huyo,amuulize kabouru leo yuko wapi?