Massawe weka picha hasa akianza kuzomewa!!
MASSAWE- UNATOKEA MACHAME NA MACHAME ; NDO KWA MH MBOWE ----------- KAKUTUMA NA KUKUPA NAULI ILI UONE MAUMUVU MNAYOPATA CHADEMA,
WEWE UMEKUWA RIPOTER WETU ACT- WAZALENDO
SISI TUNAPENDA SANA MAADUI ZETU ; NDO WATOE TAARIFA;
ANDAA ADOBE MOVIE MAKER; KUWEKA KELELE ZA BAVICHA WAKATI MNA EDIT ILI IONEKANE KAZOMEWA KUMBE
MMEWEKA MTAA WA UFIPA.
http://www.youtube.com/watch?v=cqWStZMWAJA
Lindi.....
Kwa nyomi kajitahidi angalau kafikia nyomi ya diwani wa CHADEMA anapofanya mikutano ya kata.
Mcubic , Zitto amejitathmini na kuacha siasa za kupania wapinzani , na niliandika hapa ili aeleweke apambane na mfumo unaokandamiza hata mimi nitamkubali ingawa siwezi kuwa mfuasi wake nitasapoti apate majimbo nae aingie bungeni.Ni vizuri akaonesha heshima kwa wapinzani wenzake arrogancy isingalimsaidia .
Kwenu mashabiki wake maneno yenu kwenye mitandao yanaweza kumharibia huyu kijana kwakuwa mnaelekeza vita yenu kwa CDM kitu ambacho si lengo, mkibadilika mambo yatakua mazuri, yeye na ninyi mbadilike,badala ya kufukuza mwizi unafukuza aliyeibiwa isingewezekana .Kwa hiyo leo nasema OK tupo pamoja
Nimehudhuria mikutano mitano ya Zitto tangu awe kiongozi wa ACT amekuwa akieleza hoja tu ila umekuwa ukifanyika upotoshaji eti anawatukana wapinzani wenzake. Zitto mtamuelewa tu polepole na mtamkubali.
Nitawapa updates kutoka Uwanja wa Ilulu Lindi.
Mpaka sasa 15:30 watu wanaingia uwanjani kwa uchache, Mkutano unatarajia kuanza saa 16:00
Uingiaji watu ni mdogo na inatokana na wananchi kitokupata taarifa ya uhakika
Vyombo vya kuongelea vinatestiwa Afande Sele atakuwepo pia
Mpaka sasa kuna watu takribani 1500
Mwenyekiti wa Jimbo la Mtama wa ACT ndio anaongea anawafundisha slogan ya act na anasemah ZZK anakaribia kufika.
Mambo ya kushambuliana kwa vyama vya upinzani sio mazuri na hayatajenga upinzani madhubuti. Zitto na chama chake wanajaribu kuja na aina mpya ya siasa za hoja na sio kelele au maandamano. Watu walio na hoja moja ya ufisadi kila mwaka bila kuwa na mpango au kupendekeza mfumo wa kuondokana na ufisadi ndio wanapiga kelele kwakuwa hawana cha kuwaambia watanzania.
ACT imejifunza kutokana na makosa ya vyama vingine kwa kutokuja na mfumo wa kukifanya kiwe chama cha matukio yaani kusubiri mzee wa nyoka ya makengeza apige ndio wapate cha kuongea.
Bramo ndo umeongea nini hapo? Inaonesha unajazba dhidi ya Zitto utakufa na presha mwaka huu.
Zitto ni kikatuni kama cha mama ndege wa ubongo kidsBramo ndo umeongea nini hapo? Inaonesha unajazba dhidi ya Zitto utakufa na presha mwaka huu.