Updates: Mkutano wa Zitto Kabwe Lindi

Updates: Mkutano wa Zitto Kabwe Lindi

Kwa chama kidogo kama ACT naanza kupata wasiwasi ni nini chanzo cha mapato mpaka wamudu kufanya ziara nyingi kiasi hiki!!!
 
MASSAWE- UNATOKEA MACHAME NA MACHAME ; NDO KWA MH MBOWE ----------- KAKUTUMA NA KUKUPA NAULI ILI UONE MAUMUVU MNAYOPATA CHADEMA,

WEWE UMEKUWA RIPOTER WETU ACT- WAZALENDO

SISI TUNAPENDA SANA MAADUI ZETU ; NDO WATOE TAARIFA;
ANDAA ADOBE MOVIE MAKER; KUWEKA KELELE ZA BAVICHA WAKATI MNA EDIT ILI IONEKANE KAZOMEWA KUMBE

MMEWEKA MTAA WA UFIPA.


http://www.youtube.com/watch?v=cqWStZMWAJA
 
Kwa chama kidogo kama ACT naanza kupata wasiwasi ni nini chanzo cha mapato mpaka wamudu kufanya ziara nyingi kiasi hiki!!!

MICHANGO YA WAZALENDO; KUNA WATU WANAPESA ZA HALALI; SIO CHA CHRITIAN DEMOCRATIC UNION ya ujerumani
 
Sera iliyobaki chadema ni kuzomea inabidi mjitafakari kuacha staili za kilevi za rombo
 
Wanamsifu lipumba anasema ni mwalimu wake na anamuheshimu
Anasema act wanasiasa safi hakuna matusi
Anasema ameleta chama na tuamue wenywe

AMEMALIZA

Mkuu hongera sana kwa kutuletea yanayojiri bayana kabisa bila kuongeza chumvi....huyo ndiyo Zitto mzee wa hoja.....
 
Hakika Masonjo.... Danny Massawe anastahili pongezi kwa kuwa muungwana kwa kuripoti kinaga ubaga wa kile kinachojiri.....aendelee

Ni kweli kabisa Mcubin,hivi ndivyo inavyotakiwa, eleza yanayoongelewa kisha baadae utatoa maoni yako.

Tatizo mikutano mengine watu wanajaza humu yao badala ya kutueleza yanayosema mkutanoni.
 
Last edited by a moderator:
anaagiza kila mwananchi mwenye namba ya simu ya mbunge yeyote wa kusini ampigie amwambie apiginae kutopishwa kwa miswada ihusio gesi na mafuta ambayo inategemewa kupelekwa bungeni kwa hati ya dharura kwani haina tiga kwa wananchi

Aksante Kertel,big up
 
Ni kweli kabisa Mcubin,hivi ndivyo inavyotakiwa, eleza yanayoongelewa kisha baadae utatoa maoni yako.

Tatizo mikutano mengine watu wanajaza humu yao badala ya kuteleza yanayosema mkutanoni.

Nimefarijika sana....ngoja niingie chimbo niinogeshe thread hii kwa mapicha ya lindi
 
Hili jina kumwita Zito Tigo sio zuri,ila aufanyie kazi ujumbe,haaminiki kama mtandao wa Tigo
 
hakuna mkutano zito anatoa kashfa juu ya cdm yeye mara zote huiongerea ccm na serikali yao
 
Ni kweli kabisa Mcubin,hivi ndivyo inavyotakiwa, eleza yanayoongelewa kisha baadae utatoa maoni yako.

Tatizo mikutano mengine watu wanajaza humu yao badala ya kuteleza yanayosema mkutanoni.

Mcubic , Zitto amejitathmini na kuacha siasa za kupania wapinzani , na niliandika hapa ili aeleweke apambane na mfumo unaokandamiza hata mimi nitamkubali ingawa siwezi kuwa mfuasi wake nitasapoti apate majimbo nae aingie bungeni.Ni vizuri akaonesha heshima kwa wapinzani wenzake arrogancy isingalimsaidia .

Kwenu mashabiki wake maneno yenu kwenye mitandao yanaweza kumharibia huyu kijana kwakuwa mnaelekeza vita yenu kwa CDM kitu ambacho si lengo, mkibadilika mambo yatakua mazuri, yeye na ninyi mbadilike,badala ya kufukuza mwizi unafukuza aliyeibiwa isingewezekana .Kwa hiyo leo nasema OK tupo pamoja
 
Back
Top Bottom