..miaka mingi tulikuwa tunapiga kelele kuwahimiza cdm waende vijijini wakazungumze na wananchi wa kawaida. Kwa mikutano hii nadhani ushauri huo umezingatiwa. Kuna mapungufu ya hapa na pale, lakini hali inatia matumaini.
..kuna suala lingine ambalo tumekuwa tukilipigia kelele haswa ndugu yangu nguruvi3. Kwamba kampeni za uchaguzi zitakuwa rahisi zaidi kama chadema watakuwa na redio inayosikika nchi nzima. Hili tunaendelea kuwahimiza viongozi wetu walifanyie kazi haraka iwezekanavyo.
Cc mkandara, freeland, rose mayemba, chademakwanza
vita ni vita muraaa.. Hatuwezi kuacha mchuzi eti kwa kukosa pilipili.... Chadema ni taasisi kubwa, first class mistake ni kulinganisha taasisi, na ka mradi ka mtu mmoja... Chadema mwendo mdundo... Mdeee tunamtaka jukwaani next weeek, peopleeeeeee........ Patrobasi katambi ajipange, naye next week ni kijiji kwa kijiji.. Hakuna mtu kukaaa ofisi, rasilimali zipo zakutosha... Hatusubili hisani. Chama kinajimudu na wanachama hai wapo...
..miaka mingi tulikuwa tunapiga kelele kuwahimiza CDM waende vijijini wakazungumze na wananchi wa kawaida. kwa mikutano hii nadhani ushauri huo umezingatiwa. kuna mapungufu ya hapa na pale, lakini hali inatia matumaini.
..kuna suala lingine ambalo tumekuwa tukilipigia kelele haswa ndugu yangu Nguruvi3. kwamba kampeni za uchaguzi zitakuwa rahisi zaidi kama Chadema watakuwa na redio inayosikika nchi nzima. hili tunaendelea kuwahimiza viongozi wetu walifanyie kazi haraka iwezekanavyo.
cc Mkandara, Freeland, Rose Mayemba, Chademakwanza
wazo la kuwa na media ya chama ni muhimu sana.... Kula like 1000 mkuu, lakini mkuu hivi sheria zetu zinaruhusu hilo kwa vyama vya siasa kumiliki rasmi media.. Yaani media hii iwe brand kabisa kwa chama fulani.. Karibu kama unafahamu chochote
Mkuu utanisamehe kwa hili maanake mtazamo wangu ni tofauti kabisa. Chama hujijenga huko huko Vijijini na kuwa karibu na wananchi kila siku. Hii mikutano sii ya lazima kabisa maana wapo leo, kesho wananchi wanaachwa na tumaini pakee. Nafsi yangu naamini katika viongozi within the society yaani kiongozi anakuwa baina yao na mwenye uwezo wa kuwashawishi wananchi juu ya Mustakabali wa nchi yao maana mnategemea kesho huyu ndiye atakuwa na mamlaka juu yao...miaka mingi tulikuwa tunapiga kelele kuwahimiza CDM waende vijijini wakazungumze na wananchi wa kawaida. kwa mikutano hii nadhani ushauri huo umezingatiwa. kuna mapungufu ya hapa na pale, lakini hali inatia matumaini.
..kuna suala lingine ambalo tumekuwa tukilipigia kelele haswa ndugu yangu Nguruvi3. kwamba kampeni za uchaguzi zitakuwa rahisi zaidi kama Chadema watakuwa na redio inayosikika nchi nzima. hili tunaendelea kuwahimiza viongozi wetu walifanyie kazi haraka iwezekanavyo.
cc Mkandara, Freeland, Rose Mayemba, Chademakwanza
Naendelea kuleta picha.
Anazungumza sasa Mwenyekiti wa mkoa kamanda lulandala
operation iliyopigwa kishapu kwa fisadi nchambi haitoshi naomba uongozi upange tena mashambulizi zaid kishapu.eg.mwamalasa,masANGA,ndoleleji,mwamaduru na kwngne kote ccm imetukifu
Mkutano umeanza hapa Njombe kwa watu kumiminika kwa kasi. Ila mgeni wetu rasmi Salim Mwalimu naibu katibu mkuu Zanzibar bado hajafika. Ila Kamanda Rozi Mayemba anawatambulisha makamanda mbalimbali.
Salim Mwalimu ameingia sasa picha nitatuma
Salimu Mwalimu anashangiliwa sana kwa nondo anazozitoa za busara sana
Anaelezea jinsi wanavyoandamwa. Anatolea mfano tukio la Bariadi la kufyatua risasi
Wanainchi washangilia sana Mwalimu akielezea ratiba ya chadema inavyokwenda
Anazungumzia jinsi mchakato wa katiba ulivyoendeshwa kibabe na kuto kuzingatia maoni ya wananchi
Mkuu utanisamehe kwa hili maanake mtazamo wangu ni tofauti kabisa. Chama hujijenga huko huko Vijijini na kuwa karibu na wananchi kila siku. Hii mikutano sii ya lazima kabisa maana wapo leo, kesho wananchi wanaachwa na tumaini pakee. Nafsi yangu naamini katika viongozi within the society yaani kiongozi anakuwa baina yao na mwenye uwezo wa kuwashawishi wananchi juu ya Mustakabali wa nchi yao maana mnategemea kesho huyu ndiye atakuwa na mamlaka juu yao.
Kutembelewa na Viongozi iwe kama alivyokuwa akifanya Mwalimu Nyerere, akianza ziara zake hupita nchi nzima kueleleza misimamo ya chama, maamuzi ya chama na kutazama maendeleo yamewafikia wananchi ama laa. Alikuwa hakosekani katika ufunguzi wa miradi na siasa zinaenezwa kwa vitendo zaidi. Akipata ushauri wa wazee na viongozi juu ya chama na uongozi wake. Matumizi mabaya ya madaraka liyajua toka kwa wananchi na sio kutafutana mchawi.
Chadema sio chama cha kujitangaza leo wamevuka hatua hiyo wanatakiwa kutazama mahitaji ya wananchi na kutoa ahadi za ushirika wao.Pengine jambo zuri sana niloliona miye ni hili la MNYIKA kupita mikoani na kutoa mafunzo ya uongozi ambalo ni muhimu sana.
Hawa ndio wawakilishi wa kweli na ushindi wa chama katika sanduku la kura utatokana na hawa wala sio maneno ya jukwaani. Jukwaa ni kuishusha CCM, kuonyesha udhaifu wake japo CCM wakitangaza mafanikio yao ili kuwaonyesha wananchi tofauti zilizopo za kimfumo wa sera na utekelezaji wake. CCM itaendelea kupiga bao ikiwa siasa za Chadema bado zitalenga kukiimarisha chama. Ni kipimo gani haswa watakitumia kuona kwamba sasa chama kimeimarika kama sio ushindi ktk sanduku la kura? Na ili upate ushindi mzuri ni siasa gani unatakiwa kuzitumia..
mkuu leo umeongea madini, sana hayo yote yako mezani mkuu yanafanyiwa kazi, si unaona sasa tuko vijijini, tuna vijana, tunawakina mama,Mdee next week anaanza ziara zake akiwalenga wamama, tuna RedBrigade, Mnyika, Prof Safari et al anamit na viongozi wa ngazi za chini kabisa..., kuwapa brash kidogo ili waweze kuwahudumia wanachi, now chama kina mamia ya vijiji kinaongoza huko maneno ya ukombozi na mikakati ya maendeleo inasimamiwa na watu wenyewe.,... Sasa mkuu unataka Chadema Mungu awape nini tena mkuu zaidi ya Magogoni, wale ndugu zetu UVCCM IMEKUFA, LILE TAWI LA SOPHIA SIMBA KWISHNEY, KINANA KACHOKA KABISA, NAPE KAAMUA KULA POSHO TU SASA ,NA MKandara kumbuka hii ni awamu ya kwanza tu, kuna amu kama nne zinakuja, CUF nao wanakuja, na NCCR wanakuja, NLD wanasapaoti pia kubwa tu.... so siku zote mkifanya kazi kama team lazima mtafanikiwa tu, lakini wewe ukijifanya mjuaji kila kitu wewe, utaungua na jua tu....[