sindano hiyo ; inawachoma
wapi
kotekote
zitto ni mlima wa moto; chama akina agenda kumbe mpo mnamjadili zito hongera na huyo yakheeeeeeeee
umeingia juzi kwenye siasa ; kama ujui kuwa msomaji ;sio lazima uchangie
issue yote alikuwa nayo zitto ; ila tulipandisha chat makusudi nccr kupitia kafulila ; tukidhani ukawa ni wamoja
kumbe wanafiki; kipindi kile mbowe hakuwepo alikuja baadar ;baada ya kumsema huku jf.
Usidandie treni kwa mbele utangongwa
Jeshi la mtu mmoja limepotelea kusikojulikana ....aka jeshi la Kiongozi Mkuu.....
Salum mwalimu anahutubia sasa.ameanza kwa kuwashukuru wananchi wa Njombe kwa kuonyesha nia ya dhati ya kuleta ukombozi.
Anasema CHADEMA ni chama taasisi ambacho kimejipanga kila mahali kuhakikisha hakuna MTU wa kitanzania hapati neno la ukombozi.
Anataja vijiji wanavyotoka vingunge wa ccm ambavyo vinamilikiwa na CHADEMA mfano samwel sitta, wasira na wengine wengi
Kiswahili kinakupa sheedah!CHADEMA wamehukumu nini?
Wamehukumu wapi?
Wamemhukumu nani?
Kupitia Kikao gani?
Kiongozi Mkuu aka Ayatoolah, CEO na Mfalme wa ACT! Daaaah huyu jamaa anapenda sana madaraka aloooo
Kiswahili kinakupa sheedah!
Hiki chama sasa ni balaaaa!
Alaaa kumbe wewe unataka kuongozwa na AKILI NDOGO, ndio maana basi hatutaelewana.Inawezekana mzee wa "Akili kubwa" mfuasi wa mtu "Mwenye akili kubwa" kwenye chama cha Profesa "Mwenye akili kubwa"
Chama cha watu "Wasio Local"
Alaaa kumbe wewe unataka kuongozwa na AKILI NDOGO, ndio maana basi hatutaelewana.
vita ni vita muraaa.. Hatuwezi kuacha mchuzi eti kwa kukosa pilipili.... Chadema ni taasisi kubwa, first class mistake ni kulinganisha taasisi, na ka mradi ka mtu mmoja... Chadema mwendo mdundo... Mdeee tunamtaka jukwaani next weeek, peopleeeeeee........ Patrobasi katambi ajipange, naye next week ni kijiji kwa kijiji.. Hakuna mtu kukaaa ofisi, rasilimali zipo zakutosha... Hatusubili hisani. Chama kinajimudu na wanachama hai wapo...