UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

Kwa hili la ACT hapa Iringa mna kazi ya ziada, watu wamekaa vikundivikundi wajadiliana kuhusu mission zenu.
 
watu wamekuja kushuhudia mtalaka wao,waseme wameuza kadi ngapi leo!.,usaliti utawafikisha pabaya

ZZK n mtu wa tofaut sana nnaomba niliweke waz siku ya uzinduz wa chama watu wengi walitaka kurudisha kad kwa hasira ikiwemo mie nlitaka kurudisha kaf ya CDM but ilishindikana kwamba chama hakipamban na upinzan kuwa wanachama watajiunha taratib....... kwa kwel nilishindwa kumuelewa kwan sie tulitaka kuwakomoa hao chagadema
 
Zitto Z Kabwe

16 mins · Twitter ·

‪Asante #Iringa sina namna ya kuwashukuru. Ahadi yangu kwenu ni kazi tu. Shabaha ni kubomoa mfumo wa kinyonyaji pic.twitter.com/cWzxN6lgE6

CCZquTJWAAI6_Lf.jpg:large
 
Unatumika na nafsi yako inajua unatumika na Watu wanakueleza unatumika na Wewe unaendelea kutumika ukijua Kabisa Watu wanafahamu unatumika basi Wewe unayetumika tambua akili yako imekufa siku nyingi sana na ni mpumbavu Wa wapumbavu.
 
Watanzania wana akili timamu, wanamjua mwanasiasa wa kweli, hizo propaganda zina miaka 2 sasa na Watanzania ukiona bado wanajaa hivi ujue wamezipuuza

Zitto Z Kabwe

16 mins · Twitter ·

‪Asante #Iringa sina namna ya kuwashukuru. Ahadi yangu kwenu ni kazi tu. Shabaha ni kubomoa mfumo wa kinyonyaji pic.twitter.com/cWzxN6lgE6

CCZquTJWAAI6_Lf.jpg:large
 
Iringa nimewapenda sana wanairinga kweli mkiamua mmeamua kweli Cdm mpango wa mungu
 
ZZK n mtu wa tofaut sana nnaomba niliweke waz siku ya uzinduz wa chama watu wengi walitaka kurudisha kad kwa hasira ikiwemo mie nlitaka kurudisha kaf ya CDM but ilishindikana kwamba chama hakipamban na upinzan kuwa wanachama watajiunha taratib....... kwa kwel nilishindwa kumuelewa kwan sie tulitaka kuwakomoa hao chagadema

Mkuu alikataa baada ya mpango kuvuja Wa vijana Wa CCM. Wewe ndio umefika hii mitaa Leo?
 
ACT=CHADEMA(Ukawa) maana nyomi iliyokuwepo siku chadema walipofanya mkutano wao viwanja vya Mwembetogwa imekuwa sawa tu na ile ya ACT viwanja hivyo hivyo hapa Iringa.Waweza sema Nguvu sawa
R

Ufinyu wa Fikra, Kukariri unayolishwa na wengine, Uvivu wa kutumia Akili barabaraba.

Unachotakiwa ufahamu hii ni nchi ya kidemokrasia (yeyote awe Mtu/Watu/Taasisi) wanahaki za kisiasa zilizo sawa na wengine kama Katiba inavyoelekeza. Hakuna Hati Miliki ya Ukawa eti wao ndio wapinzan bora, kuna vyama kibao nje ya ukawa navyo ni upinzani halisi. Hii mambo ya kukaririshwa eti chama fulan kina Unasaba na ccm ni kijinga. Mtu mwenye akili anakuambia jambo la kijinga na ww unaamina ndio wanawadharau.

CUF huyu huyu chadema walisema ni CCM B leo yuko wap? Ndio kinara wa kuijenga Ukawa. Mbatia alivyochaguliwa na Rais kuwa mbunge ni chadema hawa hawa walisema kibaraka wa ccm, leo mbatia ni nani ukawa?

Mungu alivyowapa Akili Bure alikuwa na maana saana. Mshukuru saana Mungu, na usimwangushe Mungu kwa kuongea ujinga.
 
Unatumika na nafsi yako inajua unatumika na Watu wanakueleza unatumika na Wewe unaendelea kutumika ukijua Kabisa Watu wanafahamu unatumika basi Wewe unayetumika tambua akili yako imekufa siku nyingi sana na ni mpumbavu Wa wapumbavu.

Makengeza anatumika kwa mkwewe mtei.
 
Hakika mwaka huu chadema watakufa kwa pressure.
 
Watu wanakuja kumshangaa Zito hilo wote tunajua tuseme ukwel tu hapo hakuna kitu km wanaweza wasifanye mkutano na Zito tuone.Watanzania weng bado tu wajinga
 
Back
Top Bottom