Updates: Mikutano ya Lowassa mkoa wa Dar Es Salaam - Tarehe 7 Septemba, 2015

Punguza povu nayy sinimwananchi anayohaki? au?

Hata Kama Anachotakiwa Ni Kutoa Mwongozo Na Kuhamasisha Watu Kupga Kura Na Sio Kuegemea Upande Mmoja,kumbuka Kila Muumin Ana Mgombea Wake Anayemwamin,Mchungaj Kuonyesha Waz Yupo Upande Gan Ni Hatar!
 
Mafuriko ya lowassa si mjini pekee hata akienda kijijini bado anapeta tuuu.... Ssm mtajibeebaaa
 
Hii yote amechangia Wilbroad, alijua atafifisha kumbe mpango wa Mungu watanzania wakombolewe. Tuliosoma PCM ndani ya Chemistry tunamuita wilbroad cheterist, yaani is a thing which speed up the chemical reaction. Akajipange upya.

Nadhani unamaanisha 'catalyst'...
 
Kura haipo mijini tu msijifariji ni juzi mulizindua Kampeni Dar na kurudi tena huko kutokeaTabora.

Ndo yale yale akili ndogo kuongoza akili kubwa,kumbe mnawanyima elimu ili muweze kuwatawala?aisee kweli mabadiliko yanahitajika
 
🗿NIMEJARIBU KUFUATILIA KWA UKARIBU MIKUTANO YA CCM, NIMEGUNDUA WANA VIPAUMBELE VINNE

1. LOWASSA
2. SUMAYE
3. UKAWA
4. BARABARA

🗿Nadhani mwaka huu hawajajipanga kwa Sera zaidi ya kuwa waratibu wa Fiesta ktk mwonekano tofauti, tuwape muda, labda 2020 watakuja na tunayoyataka

Kama nadanganya basi mtu alete clip ht tatu tu zinazoongelea maendeleo, zaidi ya ile ya Samia akitangaza ofa ya Mil.50 kila kijiji wakichaguliwa pasipo ht kutaja itatoka fungu gani la bajeti.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Huu Ni Upumbavu,kwanin Hawa Viongoz Wa Dini Wanajihusisha Kwenye Siasa?Kama Wanapenda Si Waache Makanisa Waendee Majukwaan!!Sasa Kakobe Uzinzi Slaa Unamhusu Nin Na Alikuwa Wap Tym Yote?Gwajima Nae Kakubali Kuwa Alihusika Kumpeleka Lowassa Chadema As Mshenga,sasa Mtu Kama Huyu Tumuweke Wap,mchungaj,kiongozi Wa Siasa Au Nan?Bora Ashabikie Awe Neutral,huyu Anaonesha Dhahiri Yupo Upande Gan,haoni Kama Anagawa Waumin Wake?
Waumini hawaitaki CCM.
 
Back
Top Bottom