Updates: Mbowe, Mbatia, Lipumba wamesema Ukawa hawatarudi BMK!

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Hii ni taarifa waliyoitoa jioni hii kuwa hawatorudi BMK.

My Take;
Kama hawataki kurudi na hakuna namna ya kuendelea na bunge, basi tuendelee na Katiba iliyopo, lakini Watanzania tujue pia kuwa waliotunyima katiba mpya ni UKAWA pamoja na gharama zote zilizotumika, fedha hizo zingefanya mambo mengine ya maendeleo.

Pia hao viongozi wa3 kutunyima katiba kwa maslahi yao na familia zao na washirika wao ni laana kubwa kwao.

Sababu za msingi za kuendeleza mgomo wao zimekuwa "IMMAGINATION" yaani kuhofia upande mwingine.
They immagine CCM will do, kitu ambacho hakijafanyika. Haya bhana!
 
... lakini Watanzania tujue pia kuwa waliotunyima katiba mpya ni UKAWA ...
Watanzania sio wajinga hadi waambiwe ni nani hataki katiba mpya. Katiba mpya ni ile inayotokana na rasimu ya katiba mpya, na rasimu ya katiba mpya ni ile iliyoandikwa na Tume ya Jaji Warioba, ambayo CCM hawataki kabisa kuijadili!
 
Yaaani wewe ni mpuuzi sana,unataka kutuambia ukawa ndo wanatunyima katiba mpya !!!!!!!!! Acha ujinga na u.........ge .inafahamika wazi kuwa maccm ndo hayataki katiba mpya kwa kuhofia ufisadi wao. Fyuuuuuuuuuuuuuuu

hii ni taarifa waliyoitoa jioni hii kuwa hawatorudi bmk.

My take;
kama hawataki kurudi na hakuna namna ya kuendelea na bunge, basi tuendelee na katiba iliyopo, lakini watanzania tujue pia kuwa waliotunyima katiba mpya ni ukawa pamoja na gharama zote zilizotumika, fedha hizo zingefanya mambo mengine ya maendeleo.

Pia hao viongozi wa3 kutunyima katiba kwa maslahi yao na familia zao na washirika wao ni laana kubwa kwao.

Sababu za msingi za kuendeleza mgomo wao zimekuwa "immagination" yaani kuhofia upande mwingine.
They immagine ccm will do, kitu ambacho hakijafanyika. Haya bhana!
 
Watanzania sio wajinga hadi waambiwe ni nani hataki katiba mpya. Katiba mpya ni ile inayotokana na rasimu ya katiba mpya, na rasimu ya katiba mpya ni ile iliyoandikwa na Tume ya Jaji Warioba, ambayo CCM hawataki kabisa kuijadili!

kama rasimu inatakiwa ipitishwe kama ilivyo kwanini kuwepo na BMK? si hiyo rasimu ingeletwa tu wananchi tuipipie kura kuwa ndo katiba?
 
Yaaani wewe ni mpuuzi sana,unataka kutuambia ukawa ndo wanatunyima katiba mpya !!!!!!!!! Acha ujinga na u.........ge .inafahamika wazi kuwa maccm ndo hayataki katiba mpya kwa kuhofia ufisadi wao. Fyuuuuuuuuuuuuuuu

acha kuharishia ubongo! CCM ndo hawataki kurudi BMK wakajadili rasimu ya katiba?
 
wee mtoa mada either hujui unachoongea au ni wale wale wanaohujumu hili Taifa.
 
cha kufanya raisi avunje hilo bunge la katiba na aweke wengine wapya wasitoke kwenye vyama kwani wataleta usumbufu kama wa mwanzo
 
kama rasimu inatakiwa ipitishwe kama ilivyo kwanini kuwepo na BMK? si hiyo rasimu ingeletwa tu wananchi tuipipie kura kuwa ndo katiba?
Maudhui yaliyomo kwenye rasimu yametoka huku huku kwa wananchi, na sio kwa BMK kwa hiyo ingekuwa ajabu kama wananchi waliotoa maoni wanakuja kuyakataa maoni yao kwenye kura. Kwa kuwa CCM wanajua rasimu ikienda tu kwa wananchi kama ilivyo, basi itapigiwa kura nyingi za NDIYO kwani ndiko hasa kimsingi ilikotoa hayo maoni. Na kama ikipigiwa kura za NDIYO, basi CCM itapata pigo kwani mifumo yote ya ujanja ujanja itakuwa imedhibitiwa kwa kiasi kikubwa! Hilo ndilo linalofanya CCM waizuie rasimu ya katiba mpya wakiwa bungeni BMK, vinginevyo hawana uungwaji mono wa serikali mbili zaidi ya bungeni
 
wee mtoa mada either hujui unachoongea au ni wale wale wanaohujumu hili Taifa.
Mkuu unadhani wote wanaouponda UKAWA hawajui kinachoendelea........umimi,kutokujali ya wengine na kuendekeza Njaa ndio vinavyowasukuma kuongea makamasi mbele ya jamii........UKAWA ndio njia ya kuelekea uzimani...... Kuifuata ccm nikujipeleka kuzimu.
 
Maudhui yaliyomo kwenye rasimu yametoka huku huku kwa wananchi, na sio kwa BMK kwa hiyo ingekuwa ajabu kama wananchi waliotoa maoni wanakuja kuyakataa maoni yao kwenye kura. Kwa kuwa CCM wanajua rasimu ikienda tu kwa wananchi kama ilivyo, basi itapigiwa kura nyingi za NDIYO kwani ndiko hasa kimsingi ilikotoa hayo maoni. Na kama ikipigiwa kura za NDIYO, basi CCM itapata pigo kwani mifumo yote ya ujanja ujanja itakuwa imedhibitiwa kwa kiasi kikubwa! Hilo ndilo linalofanya CCM waizuie rasimu ya katiba mpya wakiwa bungeni BMK, vinginevyo hawana uungwaji mono wa serikali mbili zaidi ya bungeni

jibu hoja yangu kuwa, kama rasimu inatakiwa ipitishwe kama ilivyowasilishwa, nini kazi ya BMK kwa kipindi cha siku 130 mara tshs 300,000 kwa kila mjumbe kwa wajumbe 601?
 
kwan zile kodi zentu wananachi zinafanya nini hizo ndo zitumike kuboresha bmk mpya

hivi unafikiri kuwa serikali haina hela inayo itumie hiyo

zinaliwa na wajumbe 601 na bado tusiambulie katiba kwa ujinga wa Ukawa.
 
Mkuu unadhani wote wanaouponda UKAWA hawajui kinachoendelea........umimi,kutokujali ya wengine na kuendekeza Njaa ndio vinavyowasukuma kuongea makamasi mbele ya jamii........UKAWA ndio njia ya kuelekea uzimani...... Kuifuata ccm nikujipeleka kuzimu.

kila m2 anao uhuru wa mawazo ila haya ya kwako inaonekana umeyakopa mahali tena kwa riba kubwa!
 
sirluta

Hivi kwanini CCM huwa mnadanganyana kiasi hicho! Mmelewa sana madaraka. U need to be voted out. Basi.

Eti UKAWA wamekosesha wananchi Katiba Mpya...yaani mnafikiri watu wako karne ya Zinjas eeh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom