Updates: Mbowe, Mbatia, Lipumba wamesema Ukawa hawatarudi BMK!

Updates: Mbowe, Mbatia, Lipumba wamesema Ukawa hawatarudi BMK!

Tunawaunga mkono asilimia mia. CCM lazima mtambue kuwa nyie ni serikali na jukumu la kukwamua suala hili kwa kuacha kucheza michezo ya kitoto.
 
Unafiki wa CCM has truly run its course,kilichobaki ni ukweli kutawala.Sioni njia mbadala.
 
Tunawaunga mkono asilimia mia. CCM lazima mtambue kuwa nyie ni serikali na jukumu la kukwamua suala hili kwa kuacha kucheza michezo ya kitoto.

wanaofanya michezo ya kitoto ni kina mbowe wanaotaka kubembelezwa kama watoto ama mwanamke
 
warudi bungeni kwenda kujadili rasimu ya lumumba?
hivi ni nini hasa malengo yenu nyie watu?


rasimu ya lumumba ni ipi? Nachosema, warudishe chupi kule ndani ya ukumbi wa bunge wakajadili katiba na siyo kukwamisha watanzania kupata katiba. Mimi nasubir kwa hamu kupiga kura ya kukubali katiba ama kukataa maana sijawah kupata hyo nafasi katika uhai wangu, yaani ni kitu kitakuja once kama kuzaliwa na kufa.
 
ccm hawatakosa katiba kwa sababu hawaihitaji,acha kufikiria kwa masaburi
 
warudi bungeni kwenda kujadili rasimu ya lumumba?
hivi ni nini hasa malengo yenu nyie watu?

kama wameona ni ya lumumba, wapeleke hyo ya Ufipa ikajadiliwe basi
 
hivi kweli wataziacha pesa? ngoja niome wasijebaki viongozi tu.

halafu siku za hivi karibuni Mtikila hasikiki na Mtatiro. inakuwaje hapa?
 
Hii ni taarifa waliyoitoa jioni hii kuwa hawatorudi BMK.

My Take;
Kama hawataki kurudi na hakuna namna ya kuendelea na bunge, basi tuendelee na Katiba iliyopo, lakini Watanzania tujue pia kuwa waliotunyima katiba mpya ni UKAWA pamoja na gharama zote zilizotumika, fedha hizo zingefanya mambo mengine ya maendeleo.

Pia hao viongozi wa3 kutunyima katiba kwa maslahi yao na familia zao na washirika wao ni laana kubwa kwao.

Sababu za msingi za kuendeleza mgomo wao zimekuwa "IMMAGINATION" yaani kuhofia upande mwingine.
They immagine CCM will do, kitu ambacho hakijafanyika. Haya bhana!

Acha upimbi wewe
 
Hivi wadau ningependa kujua Jamhuri ni nani na mwananchi ni nani pamoja na Raia?
 
ukifikiria kwa mapana ukawa ndyo sababu yakutosonga mbele kwa majadiliano ya rasimu ya katiba.Mjinga pekee ambaye anaweza fikiri kuwa rasimu iliyopendekezwa na tume ya warioba ingepitishwa tu kama maji mtaroni basi wabunge wangekuwa wote wapumbavu na ingekuwa bure kuchaguliwa kwao na matumizi mabaya ya fedha za uma! hivyo UKAWA lazima wakubali mapungufu yao 'a hero die on the battle not else'! hivyo msimamo wa ukawa hauna mshiko hata kidogo ndyo maana viongozi wote wa dini wamewaambia warudi bungeni kuendelea na mchakato wa majadiliano mitaani hakna mjadala!

Sawa serikali mbili ni maoni ya tume ipi weweeeeee, mbona unakurupuka hivyo,
 
Back
Top Bottom