Updates.MAPIGANO YAANZA MISRI.

Updates.MAPIGANO YAANZA MISRI.

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,041
kwa sasa makundi yanayomuunga mkono rais morsi wa misiri aliyepinduliwa na yale yasiyomuunga mkono yameanza kupigana katika miji ya cairo live aljazeera.
 
Ndicho walichokuwa wanakitafuta,wacha wauwane hawa wamisri ni watu wakorofi sana nawajua sana nimeishi.nao miaka kibao,
Hawajazoea demokrasia walizoea kuendeshwa kipunda kama alivyokuwa anawaendesha Mubarak sasa watajuta,Syria ya pili itakuwa
 
Kwa kuwa mapinduzi yamefanyika kumuondoa morsi anayeungwa mkono na waislam wengi wenye msimamo, nchi nyingi zimekaa kimya au kufurahia,ingekua morsi ni mkristo au muislam poa kelele zingetapakaa kila mahali kulaani mapinduzi
 
Wenzio hiyo ni moja ya kete ya kupambana na wanaouita Ugaidi.
 
Kwa kuwa mapinduzi yamefanyika kumuondoa morsi anayeungwa mkono na waislam wengi wenye msimamo, nchi nyingi zimekaa kimya au kufurahia,ingekua morsi ni mkristo au muislam poa kelele zingetapakaa kila mahali kulaani mapinduzi
Udini tena ...!!!!!!!!!!!!!!!hakuna atakayeiona pepo eti kwa kuwa huyu ni mkristo au mwislamu.....ni bora hata marasta farai waweza mwona mungu maana wao(sisi) wanahubiri upendo kwa wote, mimi na mtu mwenye kuingiza dini kwenye hoja za kisisa,jamii sijui namwona vp; Note, si marasta uchwara wafanyao urast ni ubishoo na fashion
 
Kwa kuwa mapinduzi yamefanyika kumuondoa morsi anayeungwa mkono na waislam wengi wenye msimamo, nchi nyingi zimekaa kimya au kufurahia,ingekua morsi ni mkristo au muislam poa kelele zingetapakaa kila mahali kulaani mapinduzi

una maana morsi ni hardliner..?ujue huyo alipata elimu marekani na inawezekana aliandaliwa atawale kama kibaraka wao.muslim brotherhood yasemekana iliundwa na waingereza miaka ya 60.
Muslimu hardliner wa ukweli kule misri ni salafi na sio muslim brotherhood.mataifa ya magharibi yako kimya sababu mtu wao kapigwa chini.
 
Morsi hafai ...ni mdini kuliko shehe ponda
 
Sons of Allah are now fighting for peace. What a loving Allah.
 
Kwa kuwa mapinduzi yamefanyika kumuondoa morsi anayeungwa mkono na waislam wengi wenye msimamo, nchi nyingi zimekaa kimya au kufurahia,ingekua morsi ni mkristo au muislam poa kelele zingetapakaa kila mahali kulaani mapinduzi
Kwa hiyo hao wanaopigana kumuondoa Morsi ni waKristo? bongolala???????????????
 
una maana morsi ni hardliner..?ujue huyo alipata elimu marekani na inawezekana aliandaliwa atawale kama kibaraka wao.muslim brotherhood yasemekana iliundwa na waingereza miaka ya 60.
Muslimu hardliner wa ukweli kule misri ni salafi na sio muslim brotherhood.mataifa ya magharibi yako kimya sababu mtu wao kapigwa chini.

Ndio maana yule dogo mluo wa kogelo anayejifanya rais wa dunia aliyepuliziwa dawa ya mbu juzi juzi hapa bongo .....aliongea kwa machungu....kumbe Morsi Spy lao kama ilivyo kwa kale kabibi kanakong'ang'ania ziwa nyasa kumbe kametumwa(US. Spy)
 
Kwa hiyo hao wanaopigana kumuondoa Morsi ni waKristo? bongolala???????????????

swali muhimu kwa wakati sahihi.......tena hao wanaompinga morsi wanaakili kuzidi mtu yeyote maana ni dini moja nae ila wanapinga udini maana wanajua nchi haiwezi kujengwa na dini moja tu na kukawa shwari....................
 
Back
Top Bottom