Waungwana si vibaya kama tukijuzana kuhusu Maendeleo ya Mtanzania Mwenzetu na Kiongozi wetu , mwenye habari yoyote kuhusu Kamanda wetu ni bora akatujulisha , labda tunaweza kutabasamu , Mungu amjaalie afya njema .

Nenda pale Central police kwa kova, ukiingia tu mlango mkubwa/kwenye ngazi kabla ujafika counter chumba za kwanza tokea counter.... kuna habar zote pale.
kushoto kulia?
Muulize Afande Kova, Email address: kova.suleiman@yahoo.com
Naskia kisha tangulia mbele za haki kwa Daud Ballali style
Nimesikia ameongezewa machine nyingine ya kupumulia !!!
sikuwahi fikiri malaria ni hatari kiasi hiki na wala sijajua mpaka leo kama kweli Tz nzima hatuwezi tibu malaria mpaka tupeleke mgonjwa nje ya nchi!
Ulimboka anaendelea vizuri na kazi zake!