Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Muulize Afande Kova, Email address: kova.suleiman@yahoo.com
naskia kova nae anaumwa ingawa bado haijathibitika
Muulize Afande Kova, Email address: kova.suleiman@yahoo.com
sikuwahi fikiri malaria ni hatari kiasi hiki na wala sijajua mpaka leo kama kweli Tz nzima hatuwezi tibu malaria mpaka tupeleke mgonjwa nje ya nchi!
Kova naye si nilisikia anaumwa ? Au ulikuwa uzushi ?
taarifa hizi nami nimezipata leo kuwa ana kiharusi,,,,ila zinafichwafichwa,,,sasa kama kuna mtu anaweza afanye tukio la ujambazi ili tuone kama atajitokeza hadharan
Wewe badala uulize afya ya Babu na kisugar chake anaendeleaje manake asije akatuachie mtoto mdogo
jiandaeni kusikia mtu anafanyiwa operation kuondoa malaria mwilini.
Nimeshindwa kujizuia kucheka. Kwa nini usifanye wewe hilo tukio la ujambazi!taarifa hizi nami nimezipata leo kuwa ana kiharusi,,,,ila zinafichwafichwa,,,sasa kama kuna mtu anaweza afanye tukio la ujambazi ili tuone kama atajitokeza hadharan
naskia kova nae anaumwa ingawa bado haijathibitika
anaendelea vizuri kabisa na shughuli zake
hivi ni mwaka wa 10 sasa yuko icu!?Manumba = Ariel Sharon
Kova naye si nilisikia anaumwa ? Au ulikuwa uzushi ?
Yep....on taxpayers bill
![]()