Updates: Kutoka Jangwani Leo tarehe 24.10.2015

Updates: Kutoka Jangwani Leo tarehe 24.10.2015

Status
Not open for further replies.
Kama kuna tone la ukombezi wa nchi hii lililo salia basi liko UKAWA hapa watanzania wenzangu niwaombe tusichezee bahati hii!kura kwa Lowassa na viongozi wa Ukawa
 
Kama kuna tone la ukombozi wa nchi hii lililo salia basi liko UKAWA hapa watanzania wenzangu niwaombe tusichezee bahati hii!kura kwa Lowassa na viongozi wa Ukawa
 
kama kuna tone la ukomboz wa nchi hii lililo salia basi liko UKAWA!watanzania wenzangu tusichezee bahati hii kura zote kwa Lowassana viongozi wa Ukawa ahsanteni
 
Kampeni zimeshafanyika sasa kila mpiga kura atimize wajibu wake hapo kesho - kwa wakati uliobaki very little can change. Mimi ni Team Lowassa/UKAWA. Cha muhimu ni tudumishe amani, tusameheane kuna maisha baada ya Uchaguzi. Nawatakia wote kila heri!
 
Tupeni raha huku mwanza tuko bize kumpokea sumaye na kingunge
 
Tupeni raha huku mwanza tuko bize kumpokea sumaye na kingunge
 
Namshukuru Allah kuniweka has had Leo his nikishuhudia CCM wa naenda kuwa Chama cha upinzani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom