Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,193
Unaanzisha Uzi kwa ajili ya kuulizia update si Bora ungemPM Makene?
Sijui nilichoandika nielekeze! Mnawekeza Siasa kwa wahuni subirini matokeo yake! Dirisha dogo la usajili mnasajili Makongoro Mahanga, Ole naiko, Mgeja, Sumaye na Mwapachu mnasema mmeipasua Ccm? Mbowe pekee ndio hajapata hasara kwny Mchakato huu kwa kuwa hajakodisha Chama kwa Mkopo kachukua hard cash.
Pole sana, Lowassa ndio habari yenyewe.
![]()
Kaazi kweli kweli.Taifa lote linasubiri Mkutano wa Mrithi wa Baba wa Taifa Mwl Nyerere anaitwa Mwl John Pombe Magufuli.
Fisadi utamchagua mwenyewe..hata mkeo hatokuunga mkono
kaazi kweli kweli.taifa lote linasubiri mkutano wa mrithi wa baba wa taifa mwl nyerere anaitwa mwl john pombe magufuli.
Hatuna muda leo tupo mwanza, kusanyeni malofa wenu na wanywa virobaWanamabadiliko,Leo ndio ile siku ya FUNGAKAZI ambayo tulikuwa tunaisubiria hususani kwa watu wa DSM hapo Jangwani.Hadi sasa sijaona updates zozote ya juu kinachoendelea pale Jangwani, mwenye nazo naomba atupie hapa. Wengine tupo mbali na Dar ila tunataka kujua kila kinachoendelea
Tulianza na Mungu na tunaenda kumaliza na Mungu.
VIVA UKAWA!!!!
Hatuna muda leo tupo mwanza, kusanyeni malofa wenu na wanywa viroba
Hatuna muda leo tupo mwanza, kusanyeni malofa wenu na wanywa viroba
kumbuka kesho kufanya hivi
![]()
Fisadi hachaguliki. Lazima watanzania kwa ujumla wetu TUMKATE