UPDATES KUHUSU @Ruhazwe Jr NA MISS CHITCHAT 2012.

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,645
Wakuu salam.

Niliwahi kuja humu mara kwa mara kujibu hoja za watu kuhusu swala la Ruhazwe JR na zawadi za miss chitchat 2012 na nikaahidi kuleta mrejesho hapa mara baada ya kurudi na kuwasiliana na muhusika. Sasa basi kuhusu swala la mkuu Ruhazwe JR kutokupatikana mara baada ya mshidi kupatikana ni kweli kwamba aliugua an kulazwa hospitalini kwa hiyo alipotea ghafla humu jamvini.

Kwa sasa hali yake ni nzuri kiafya japokuwa hakuweza kurejea tena ghafla kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezo wake nazo ni matatizo ya kifamilia ambayo yamesababisha yeye kwenda huko mkoani ili ku respond matatizo hayo na mimi niliporejea nyumbani nilikuta hali hiyo bado ipo hivyo inabidi niungane naye kwenda mkoa ni kwa sababu hiyo.

Kuhusu Zawadi.

Kuhusu zawadi za Miss Chit chat niliwasiliana naye na kwakuwa sasa hivi ninaungana naye kurespond hiyo issue naahidi baada ya hili swala kuisha nitarejea Dar es Salaam na nitawasiliana na charminglady ili nimpe Zawadi zilizokuwa zimeahidwa na yeye mwenyewe Ruhazwe JR na mimi nilizoahidi kwa wadau wengine wailoahidi naomba wampe charminglady pia. Nitarejea tar 30 mwezi huu

Naomba radhi kwa wadau wa white party kwa hiyo tarehe sitahudhuria kama nilivyokuwa ninapenda iwe.

kama kuna mwenye Swali aulize hapa hapa jamvini
Copy to charminglady Mtambuzi Madame B Remmy figganigga Arushaone washindi wote wa Miss Chit Chat na wadau wengine wote.
 
Mkuu hamna haja ya kuumiza kichwa. sababu zawadi zenyewe ni hela, bora mzitume kwa uongozi wa jf ili wazigawe kupitia moderator wa chit chat. sababu utaratibu wa kuzigawa unajulikana. siku hizi kuna tigo pesa, m-pesa kila kona ya nchi. so tumeni hela kwa Invisible ili muweze kukaa kwa amani na kufanya mambo yenu huko mkoani kiufasaha. nawatakieni kila la kheri. mia
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ahsante kwa Ushauri wako tutaufanyia kazi.
 
Thax kwa ufafanizi maana ukimya uliweza kuibua hisia tofauti mkikabizi zawadi mtoe taarifa hapa hapa kwa wapiga kura.
 
Thanks wakuu but note: nitatoa alizoahidi yeye pamoja na mimi basi! Kama nilivyoahidi hapo juu.
 
Pamoja sana mkuu, poleni kwa mitihani ya maisha na yote yaliyowasibu...
Naamini utatimiza ahadi yako, pengine na kufuata ushauri wa figganigga
 
Mkuu ushauri nitaufuata but as doon as I finish family matters hata ungekuwa wewe ungepata headache tu.
 
Wakuu salam.

Niliwahi kuja humu mara kwa mara kujibu hoja za watu kuhusu swala la Ruhazwe JR na zawadi za miss chitchat 2012 na nikaahidi kuleta mrejesho hapa mara baada ya kurudi na kuwasiliana na muhusika. Sasa basi kuhusu swala la mkuu Ruhazwe JR kutokupatikana mara baada ya mshidi kupatikana ni kweli kwamba aliugua an kulazwa hospitalini kwa hiyo alipotea ghafla humu jamvini.

Kwa sasa hali yake ni nzuri kiafya japokuwa hakuweza kurejea tena ghafla kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezo wake nazo ni matatizo ya kifamilia ambayo yamesababisha yeye kwenda huko mkoani ili ku respond matatizo hayo na mimi niliporejea nyumbani nilikuta hali hiyo bado ipo hivyo inabidi niungane naye kwenda mkoa ni kwa sababu hiyo.

Kuhusu Zawadi.

Kuhusu zawadi za Miss Chit chat niliwasiliana naye na kwakuwa sasa hivi ninaungana naye kurespond hiyo issue naahidi baada ya hili swala kuisha nitarejea Dar es Salaam na nitawasiliana na charminglady ili nimpe Zawadi zilizokuwa zimeahidwa na yeye mwenyewe Ruhazwe JR na mimi nilizoahidi kwa wadau wengine wailoahidi naomba wampe charminglady pia. Nitarejea tar 30 mwezi huu

Naomba radhi kwa wadau wa white party kwa hiyo tarehe sitahudhuria kama nilivyokuwa ninapenda iwe.

kama kuna mwenye Swali aulize hapa hapa jamvini
Copy to charminglady Mtambuzi Madame B Remmy figganigga Arushaone washindi wote wa Miss Chit Chat na wadau wengine wote.

Asante kwa taarifa... Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika matatizo mliyonayo!!!
 
WHITE PARTY Itafana sana Jumamosi ya tarehe 26/1/2013 charminglady nitakuwa bodyguard wako, maana najua wapambe nuksi watakuzunguka.........
 
Last edited by a moderator:
WHITE PARTY Itafana sana Jumamosi ya tarehe 26/1/2013 charminglady nitakuwa bodyguard wako, maana najua wapambe nuksi watakuzunguka.........

Usijali mzee Mtambuzi........ Si unajua tena natetea Taji wa mwaka mzima......

public.php
 
Last edited by a moderator:
Pale juu ndo kuna upepo safi kutoka ziwa victoria....
huku tunasuuza macho kwa wapita njia!!!!!!

Ok shost angu.... Evelyn Salt..... ndo maana nakupenda wangu... haya ndo najongea hapo ukizingatia kesho sio siku ya kazi tutakunywajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom