Updates kuhusu BOT

 
Hatutakiwi kukariri hivyo mkuu,sometimes kupatakazi ni bahati wala haihitaji kushikwa mkono.ninao mfano toka kwa rafiki zangu ambao leo hii niwaajiriwa wa Takukuru ambao walikuwa hawana hata mtu m1 wakuwashika mkono
kama surname ya rafiki yako haiko ktk medani za siasa za ccm au mafisadi.....sahau
 
vp kuhusu legal officer tulifanya aptitude test mwezi june
 

Nilifanya interview mwaka huu na nilitokea Mara ila hawajanirudishia nauli.
Siku hizi hawarudishi, ilikuwa zamani.
 
We ndugu yangu siyo hao BOT tu, kuna waliofanya interview za udereva PSPF tangu mwaka wa 2012/2013 hadi leo hakieleweki wameajiri au bado. Baya zaidi hawatoi taarifa kama kuna waliowekwa kwenye hizo nafasi na hawakufanya interview au vipi, ili wale waliofanya hizo sahili, maana zilikuwa nyingi, nasikia kama tatu - written, oral na test. Sielewi watanzania tunakwenda wapi jamani. Uadilifu umepotea kabisa na ule utu tu ata machoni haupo. Mungu saidia.
 
Walitaka form 6.....wewe ulikua na cheti cha zaidi ya form 6. Huwa wanafuatilia

kuna mdau wa pale kanambia,umri ndio kigezo pekee wanachoangalia,ukiwa na umri chini 30yrs sahau kuajiriwa kwa nafasi ya messenger au note counter.sababu wanazijua wenyewe.
 
Jamani vipi kuhusu hizi note counter za mwaka huu nazo hawajaita watu ktk usaili
 
Jamani vipi huko bot watu walishaitwa au bado
 
Afadhali bot wanaita ingawa ni kwakuchelewa TRA ndo sahau kabisa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…