Updates kuhusu BOT

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,544
Habari wana JF makini!!

Mwezi may rafiki yangu alipigiwa cm toka bot akafanye written interview then waliambiwa kuwa watakao faulu watapigiwa cm .

Mpaka sasa hajui kinachoendelea kama walishaita watu kwaajili ya Oral interview au la!

Wenye updates watujuze jaman!
 
Mkuu si ungesema kuwa ni ww..ila nimeskia jamaa wameshaanza Kazi tayari..nafasi za BOT huwa tunawasindikiza wenyewe tu....
 
Sio mimi mkuu japo niliwahi kuapply,ama kweli hawa watu balaa
Mkuu si ungesema kuwa ni ww..ila nimeskia jamaa wameshaanza Kazi tayari..nafasi za BOT huwa tunawasindikiza wenyewe tu....
 
Oral interviews zinaendelea kwa post mbali mbali,, accounts walishaita, na wachumi wameanza kuita
 
Duh!kama accounts wameishaita ni majanga!
Oral interviews zinaendelea kwa post mbali mbali,, accounts walishaita, na wachumi wameanza kuita
 
Yani kuna sehemu huwa wakitangaza kazi huwa sijisumbui kabisa kutuma maombi
 
niliombaga messenger 2012 ckuitwa...BOT kuna wenyw.
 
walitaka form 6...na nikaaply kwa chet cha form six....sikuqualfy nn ss??

niamini mimi, kwenye cv ile part ya education ulisahau edit. au pia kwa matokeo ya cheti chako yalionesha wazi lazima uliendelea na elimu ya juu. btw usiache kutry mkuu
 
Walitaka form 6.....wewe ulikua na cheti cha zaidi ya form 6. Huwa wanafuatilia

wanafatiliaje wakt ckuattach hvyo vyet vngn...haya juz tena walitangaza na nina experience juu kwenye post ya bank examiner...cjaitwa written wala oral....!!ngoja nikaombe undugu na ndullu niingie fasta.
 
hhaaa hhaaa
 
Kuna ndugu wa rafiki yangu nae anadai kuwa alifanya written interview ya messenger mwaka huu ila bado anasikilzia kuitwa
niliombaga messenger 2012 ckuitwa...BOT kuna wenyw.
 
Kuwa na subira mkuu,kwa BOT INTERVIEW unaweza ukasubiri hata miezi 6,mimi nimeishawai kufanya interview mbili,written na oral,una apply kazi leo,then unasubili hata miezi sita ndio wanakuita,kwa ufupi wanautaratibu mrefu wa recruitment,

kwa ushauri kidogo kwenye interview ya oral,inakuwa na panelist kati ya watano mpaka wanane,kila mtu anakuuliza swali moja,na ni maswali yaliojikita zaidi katika ufahamu wako kuhusu BOT,BOT nini,wanafanya kazi gani,na mambo kama hayo.cha muhimu ni kukaa standby tu,kingine kizuri nauli yako unarudishiwa kama umetoka mikoani nje ya DAR.
 
Ahsante sana JUAN MANUEL hakika umedadavua kinagaubaga na bila kigugumizi nasema yakwamba nimusoma na kukuelewa sana.Shukran sana
 
Last edited by a moderator:

kama surname ya rafiki yako haiko ktk medani za siasa za ccm au mafisadi.....sahau
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…