Baaada ya kamanda Alphonce Mawazo na timu yake kuwasili katika kisiwa cha Iyumbo,kilichopo katika jimbo la Muleba kaskazini mkoani Kagera na kupiga mkutano mkubwa ukiambatana na maandamano makubwa ya shangwe toka kwa wafuasi wa CHADEMA katika mitaa ya kisiwa hicho kumepelekea muendelezo wa masikitiko na majonzi ya kuondokewa na mamia ya wanachama wa CCM katika kanda ya ziwa na hivyo kupelekea kupoteza muelekeo wa chama hicho katika mikoa na wilaya za kanda ya ziwa.
Kamanda Mawazo na timu yake pamoja na makamanda wengine wengi toka Muleba hivi sasa wamepanda Mtumbwi uliopambwa bendera kibao za CHADEMA kuelekea visiwa vingine zaidi,ambapo kesho watapiga mikutano mingine na kukuendelea kupokea wanachama wapya wa CHADEMA katika visiwa vya ISENYI na LUSHONGA.
VIVA CHADEMA,VIVA KAMANDA MAWAZO.
Ana taaluma gani huyu kijana?
Mara nyingi watu jobless ndio huwa na muda wa kuzurura...
Uoni aibu kuuliza Kazi ya KAMANDA MAWAZO,wakati upo Dar eh.Nenda kagera kaone kazi yake.Ana taaluma gani huyu kijana?
Mara nyingi watu jobless ndio huwa na muda wa kuzurura...
Ana taaluma gani huyu kijana?
Mara nyingi watu jobless ndio huwa na muda wa kuzurura...
Baaada ya kamanda Alphonce Mawazo na timu yake kuwasili katika kisiwa cha Iyumbo,kilichopo katika jimbo la Muleba kaskazini mkoani Kagera na kupiga mkutano mkubwa ukiambatana na maandamano makubwa ya shangwe toka kwa wafuasi wa CHADEMA katika mitaa ya kisiwa hicho kumepelekea muendelezo wa masikitiko na majonzi ya kuondokewa na mamia ya wanachama wa CCM katika kanda ya ziwa na hivyo kupelekea kupoteza muelekeo wa chama hicho katika mikoa na wilaya za kanda ya ziwa.
Kamanda Mawazo na timu yake pamoja na makamanda wengine wengi toka Muleba hivi sasa wamepanda Mtumbwi uliopambwa bendera kibao za CHADEMA kuelekea visiwa vingine zaidi,ambapo kesho watapiga mikutano mingine na kukuendelea kupokea wanachama wapya wa CHADEMA katika visiwa vya ISENYI na LUSHONGA.
VIVA CHADEMA,VIVA KAMANDA MAWAZO.
Baaada ya kamanda Alphonce Mawazo na timu yake kuwasili katika kisiwa cha Iyumbo,kilichopo katika jimbo la Muleba kaskazini mkoani Kagera na kupiga mkutano mkubwa ukiambatana na maandamano makubwa ya shangwe toka kwa wafuasi wa CHADEMA katika mitaa ya kisiwa hicho kumepelekea muendelezo wa masikitiko na majonzi ya kuondokewa na mamia ya wanachama wa CCM katika kanda ya ziwa na hivyo kupelekea kupoteza muelekeo wa chama hicho katika mikoa na wilaya za kanda ya ziwa. Kamanda Mawazo na timu yake pamoja na makamanda wengine wengi toka Muleba hivi sasa wamepanda Mtumbwi uliopambwa bendera kibao za CHADEMA kuelekea visiwa vingine zaidi,ambapo kesho watapiga mikutano mingine na kukuendelea kupokea wanachama wapya wa CHADEMA katika visiwa vya ISENYI na LUSHONGA. VIVA CHADEMA,VIVA KAMANDA MAWAZO.[/QUOTE Hana kipya cha kuweza kuambia watu mijini,ndio maana anakimbilia vijijini kwa watu wengi wasio na uwezo wa kuchambua mwanasiasa wa kweli na wa uongo.

Hata kunukuu thread kunakushinda ndiyo maana huelewi kitu