Updates; Kamanda Mawazo aipotezea mwelekeo CCM

Updates; Kamanda Mawazo aipotezea mwelekeo CCM

Huyu kamanda anatisha,sio lazima uwe mbunge ndio upiganie haki,na ubunge sio kila kitu jembe linapiga kaz ile kwasana mwenyezi mpe mahitaji yamstahiliyo ili atuokoe kwani yeye ni mbegu bnra iliyo kubali kuoza ili mazao yaote viva mwana ngosha
 
Baaada ya kamanda Alphonce Mawazo na timu yake kuwasili katika kisiwa cha Iyumbo,kilichopo katika jimbo la Muleba kaskazini mkoani Kagera na kupiga mkutano mkubwa ukiambatana na maandamano makubwa ya shangwe toka kwa wafuasi wa CHADEMA katika mitaa ya kisiwa hicho kumepelekea muendelezo wa masikitiko na majonzi ya kuondokewa na mamia ya wanachama wa CCM katika kanda ya ziwa na hivyo kupelekea kupoteza muelekeo wa chama hicho katika mikoa na wilaya za kanda ya ziwa.

Kamanda Mawazo na timu yake pamoja na makamanda wengine wengi toka Muleba hivi sasa wamepanda Mtumbwi uliopambwa bendera kibao za CHADEMA kuelekea visiwa vingine zaidi,ambapo kesho watapiga mikutano mingine na kukuendelea kupokea wanachama wapya wa CHADEMA katika visiwa vya ISENYI na LUSHONGA.

VIVA CHADEMA,VIVA KAMANDA MAWAZO.


Continue Continue Man, Sante sana mungu akulinde!!!
 
Tuko nyuma yako kamanda,wewe ni mfano lazima kuna watu watafuata nyayo zako na mwisho ukombozi wa nchi hii utapatikana pamoja kamanda pambana wapiganie ndugu zako
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa diwani wa ccm huko mikoa ya kaskazini. Alikuwa anaitwa Mawazo. Ndio huyu anaeongelewa hapa?
 
Kamanda hakika kazi unayoifanya inaonekana kila la kheri kamanda......Tunakusubiri kwa hamu sana kamanda kwenye mkutano wa hadhara Kishiri kata ya IGOMA Jumapili ya wiki hii....Viva CHADEMA....Mpe hi sana HUSNA,MICUS na Makamanda wengine
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa diwani wa ccm huko mikoa ya kaskazini. Alikuwa anaitwa Mawazo. Ndio huyu anaeongelewa hapa?


alphonce%2Bmawazo.pic.JPG


kirumba4.jpg siku alipokamua kirumba mwanza
 
alphonce%2Bmawazo.pic.JPG

View attachment 84606siku alipokamua kirumba mwanza

Nimekusoma Mzee. Ndo huyu. Nilimuona sikumoja miezi ya nyuma sana kwenye TV akihojiwa na Angelo Mwoleka wa Star TV wakati huo ni diwani wa ccm nafikiri. Alikuwa moto na nilishangaa alikuwaje ccm, mpaka nikarekodi na hicho kipindi. Huyu jamaa yuko juu!!!
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa diwani wa ccm huko mikoa ya kaskazini. Alikuwa anaitwa Mawazo. Ndio huyu anaeongelewa hapa?

ndiyo yeye alikuwa diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm kabla hajajitambua na kuhamia chadema..
 
  • Thanks
Reactions: mzm
Kuna jamaa mmoja alikuwa diwani wa ccm huko mikoa ya kaskazini. Alikuwa anaitwa Mawazo. Ndio huyu anaeongelewa hapa?

huyu alikua diwani wa sombetiti kwa tiketi ya ccm. mia
 
Back
Top Bottom