Rasasem
Senior Member
- Jun 25, 2022
- 100
- 76
Unahifadhi km kumbukumbu hautumi@Hvi wadau baada ya kukamilisha hatua zote hizi hard copy wanatumiwa bodi au unahifadh tu kama kumbukmumbu?
Unahifadhi km kumbukumbu hautumi@Hvi wadau baada ya kukamilisha hatua zote hizi hard copy wanatumiwa bodi au unahifadh tu kama kumbukmumbu?
Hapo maombi yako yanahitajika kuhakikiwa ili uendelee na hatua nyingineHii inamaanisha nini?
View attachment 2783265
Vuta subraHii inamaanisha nini?
View attachment 2783265
Ataendela na hatua ipi na dirisha limefugwa???Hapo maombi yako yanahitajika kuhakikiwa ili uendelee na hatua nyingine
Mbn naskia HESLB wameongeza siku mpk tarehe 30 au ni uzushi?Naona dirisha limefungwaView attachment 2783432
Yanahakikiwa na HESLB wenyeweAtaendela na hatua ipi na dirisha limefugwa???
Okey chief,nimekupataYanahakikiwa na HESLB wenyewe
Asante kwa kutupa moyoBut ondoa wasi naskia this time hakuna aliyeapply atakosa kabisa, hata asilimia kidogo, so wote mtapata
Mi nilivomaliza kidogo kichwa kikatulia, nasubiri nione kama watanitunuku ama laaWew acha tu, yn mpk hii moment iishe ntakua nmepungua kilo km 20 hv kwa stress
Umesikia wapiMbn naskia HESLB wameongeza siku mpk tarehe 30 au ni uzushi?
Ni uzushi kweli, nmefuatilia nmegundua ni scam tuUmesikia wapi
apo rangi yake inabaki vile vileWadau nimefanikiwa kuupload page 2 na 5 hapo kweny ATTACH SIGNED PAGES hapabadiliki na kuwa Green tick kama huko kwingine ,so shida inaweza kuwa nn au panabak hvyo hvyo?View attachment 2784621
Hakuna shida hapo ndiyo inakua hivyo ndugu@Wadau nimefanikiwa kuupload page 2 na 5 hapo kweny ATTACH SIGNED PAGES hapabadiliki na kuwa Green tick kama huko kwingine ,so shida inaweza kuwa nn au panabak hvyo hvyo?View attachment 2784621
Hapo umemalizaWadau nimefanikiwa kuupload page 2 na 5 hapo kweny ATTACH SIGNED PAGES hapabadiliki na kuwa Green tick kama huko kwingine ,so shida inaweza kuwa nn au panabak hvyo hvyo?View attachment 2784621
Ok poa nashukuruHakuna shida hapo ndiyo inakua hivyo ndugu@
Na Mimi ipo hivyo hivyo wajuzi watujulisheLoan officers front page imebadilika ikibadilika na kuwa hivi ndiyo tayari?.