Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,726
- 55,368
Pole sana mkuu nenda kwenyè account yako ya heslb uangalieKitumbo joto wengn huku
Pole sana mkuu nenda kwenyè account yako ya heslb uangalieKitumbo joto wengn huku
Ada wamewabana boom wameongezaKitumbo joto wengn huku
Bdo nasikiliza hpAda wamewabana boom wameongeza
hongera sn ndo imeingia saivi niniMambo tayari wadogo zangu.
View attachment 2787464
Saa 12hongera sn ndo imeingia saivi nini
kabla ya mda huo ilikuwa imeandikwaje?Saa 12
kabla ya mda huo ilikuwa imeandikwaje?
ndugu tuwe na subiraMkuu vp kwan walikutumia SMS kbl ya kuzama humoMambo tayari wadogo zangu.
View attachment 2787464
Mbn screenshot yko Inaonesha saa tisa mkuuSaa 12
Ameingiziwa saa tisa sema ameingia kwenye account yake saa 12Mbn screenshot yko Inaonesha saa tisa mkuu
SawsawaAmeingiziwa saa tisa sema ameingia kwenye account yake saa 12
Check post ya 59kabla ya mda huo ilikuwa imeandikwaje?