Updates: HESLB Loan Applications 2023/2024

Updates: HESLB Loan Applications 2023/2024

Sidhani kama itavuka tarehe 20 mwezi huu bila majibu kutoka.
nami niliwaza hivyo maana vyuo vingi vinaanza kupokea first year tarehe 23 mwezi huu na mara nyingi Board huwa inatoa majibu kabla ya tarehe ya vyuo kuanza kupokea wanafunzi
 
nami niliwaza hivyo maana vyuo vingi vinaanza kupokea first year tarehe 23 mwezi huu na mara nyingi Board huwa inatoa majibu kabla ya tarehe ya vyuo kuanza kupokea wanafunzi
Tusubili tuone maana walitangaza mwisho wa kuapply ni kesho tar 15/10/2023
 
Wadau hapo kwny application category panakuaje kati ya diploma na bachelor?
Screenshot_20231015-111751.jpg
 
Waongeze hata week moja, wengi hawajakamilisha maombi, sababu ni system kusumbua.
 
Hvi wadau baada ya kukamilisha hatua zote hizi hard copy wanatumiwa bodi au unahifadh tu kama kumbukmumbu?
 
Back
Top Bottom