Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,745
- 55,411
Download hapo kwenye allocation uone mchanganuoLoan officers front page imebadilika ikibadilika na kuwa hivi ndiyo tayari?.
Download hapo kwenye allocation uone mchanganuoLoan officers front page imebadilika ikibadilika na kuwa hivi ndiyo tayari?.
Sijaelewa hyo category ya loan officer ni kwa walioomba mkopo ni vp vp yaniDownload hapo kwenye allocation uone mchanganuo
Hiyo page ya loan officers iko wap wakuuNa Mimi ipo hivyo hivyo wajuzi watujulishe
Naona ni kwa baadhi ya watu wengine bado haijaonesha hivoSijaelewa hyo category ya loan officer ni kwa walioomba mkopo ni vp vp yani
Hivi kuwahi kukamilisha maombi ya mkopo ndio inapelekea kuwahi kujibiwa ?Naona ni kwa baadhi ya watu wengine bado haijaonesha hivo
Hapana kuwahi kukamilisha maombi hakupelekei mkopo kupata mapema. Miaka ya nyuma walikua wanatoa kwa batch, inatoka ya kwanza mpaka ya tatu. Kipindi hiki sijajua wametumia utaratibu gani. Ngoja watu wa HESLB waje wafafanue zaidiHivi kuwahi kukamilisha maombi ya mkopo ndio inapelekea kuwahi kujibiwa ?
Mm nililipia form tng August 8 nkaja kukamilisha maombi October 2, hii imekaaje wataalamu?
Loan Officers si ni Afisa Mikopo waliopo vyuoni. Sio weeey Applicant. Ngoja nimuulize mmoja hivi.Hiyo page ya loan officers iko wap wakuu
SawsawLoan Officers si ni Afisa Mikopo waliopo vyuoni. Sio weeey Applicant. Ngoja nimuulize mmoja hivi.
AlrghtHapana kuwahi kukamilisha maombi hakupelekei mkopo kupata mapema. Miaka ya nyuma walikua wanatoa kwa batch, inatoka ya kwanza mpaka ya tatu. Kipindi hiki sijajua wametumia utaratibu gani. Ngoja watu wa HESLB waje wafafanue zaidi
Endelea kufanya hyo correction inayotakiwa mkuu, maana hpo wanakuconsider kuwa ulishawatumiaMsaada wakuu. Nilimfanyia dogo application ya loan ila badae walidemand niweke bank details na niliweka. Ila sasa nikiingia kwenye account wananiletea ujumbe huu hapa chini.
Je watatoa muda wa kufanya correction au inakuwaje?View attachment 2787334
Lakini kumbuka kila mwenye sifa na vigezo vya kupata anapata.Haina matumaini sana coz kila aliyeapply akakamilisha inamuonesha hivo, inaonyesha documents ziko verified so subiri kama utapata or not kulingana na taarifa ulizojaza
Wanatoa muda wa kufanya corrections ila usisubiri huo muda wewe fanya corrections then submit itaenda fresh.Msaada wakuu. Nilimfanyia dogo application ya loan ila badae walidemand niweke bank details na niliweka. Ila sasa nikiingia kwenye account wananiletea ujumbe huu hapa chini.
Je watatoa muda wa kufanya correction au inakuwaje?View attachment 2787334
Sawa mkuu nimekuelewa ngoja nifanye chap. Nikajua wamefunga mtandaoWanatoa muda wa kufanya corrections ila usisubiri huo muda wewe fanya corrections then submit itaenda fresh.
Hapana. Ukisha submit application yako ndani ya muda hata pakiwa na sehemu za marekebisho unarekebisha tu hata kama dirisha limefungwa maana wao wanahesabu ulishamaliza application ndani ya muda.Sawa mkuu nimekuelewa ngoja nifanye chap. Nikajua wamefunga mtandao
Ubarikiwe mkuu kwa faraja yko hiiLakini kumbuka kila mwenye sifa na vigezo vya kupata anapata.
Hiyo ikikuandikia wait for allocation process maana yake wanasubiri kuona unastahili kupata mkopo kwenye sehemu ipi na ipi?
Obviously ni lazima apate status ikiwa hivyo.
Kitumbo joto wengn hukuWa mwaka wa kwanza tayari