Pole sana mkuu
Jamani hali ya mbagala sio shwari kabisa.. nimasaaa matatu sijaweza kuvuka daraja la mzinga kwenda Kongoe kwa foleni iliopo.. wahusika waje watoe msaada
niko coco hapa kwenye mihogo mvua inapiga vimeza vya mihogo vyoter nimefunikwa nylon
huku wala ucje.niko mabibo jeshini huku ni full mafurikoWatu wa Kimara na Mbezi tujuzeni hhali ya Ubungo kabla hatujaamua kupitia nyumba ndogo mabibo
Pole sana, hiyo hadi unafika nyumbani unakuwa hoi sana. Kwa kweli mimi na wewe hatuna la kufanya au kubadilisha, tatizo wahusika wakuu wanafumbia machoWatu wa kongoe , mzinga na kuendelea tumekuwa tukitaabika sana kwenye hili eneo. Ikitokea ajali ujue mtakesha hapo hakuna namna yakupita. Sioutani kuanzia saa tisa kasorobo nipo hapa mbagala hata darajani sijafika hadi sasa.
Hahaha niko hom wala hakuna folen
ISSA SHARAFI una wazimu wewe!