Kwa Gpa kubwa Tra watajaa saut, tumaini,cbe na teofilo kisanji
gpa ya 3.4 ya udsm vpy tutaitwa kwl
Hakuna udsm wala havard nafasi za ATO na Customs officer huwa wanachukua upper second... lower na pass hata interview hawaitwi
Jamani hawa TRA vip mbona wako kimya tuu, mpaka lini wanashortlist?
Anaejua
Mkuu alhamisi nilikua ikulu kwa shughuli zangu za kiofisi,nilichokishuhudia ni kikundi cha watu kutoka bagamoyo na chalinze wakiorodhesha referensi namba zao kwa ajili ya hizo post za tra
Mkuu alhamisi nilikua ikulu kwa shughuli zangu za kiofisi,nilichokishuhudia ni kikundi cha watu kutoka bagamoyo na chalinze wakiorodhesha referensi namba zao kwa ajili ya hizo post za tra
Mhhhhh sina uhakika na hili,maana mamlaka ya mapato tanzania,wakikuhitaji kwenye usaili wao wanakutumia mail!![/QUOTE
Nadhani hujaelewa,watu wamepewa vimemo,fungua akili
Mhhhhh sina uhakika na hili,maana mamlaka ya mapato tanzania,wakikuhitaji kwenye usaili wao wanakutumia mail!![/QUOTE
Nadhani hujaelewa,watu wamepewa vimemo,fungua akili
Kaka vimemo vipo kila sehemu!!!
Utawala wao ukiisha utakuja mwingine,so unaweza pata furusa kwa utawala ujao,vumilia
Mhhhhh sina uhakika na hili,maana mamlaka ya mapato tanzania,wakikuhitaji kwenye usaili wao wanakutumia mail!!
interview hawaitwi kwa mising ip tena
Nafasi za Tax officer na assistantbwanataka upper second ukiwa na lower means automaticy umedisqualify
Kijana mdau acha kuongea uongo wapo jamaa zangu nilisoma nao wana lower second na mwingine ana pass mbona wameajiliwa pale mwaka juzi
Hamna cha GPA wala nini...TRA walishaachana na hizo issue kitambo sana,ukiwa na minimum qualifications system ina ku approve kwa written interview ukajitetee huko,wanaangalia uwezo siku hizi,wameshaona kuna vyuo,mathalani UDSM na IFM GPA zinabanwa tena kimakusudi ilihali watu wana uwezo wakati wanaopewa GPA kubwa chenga tu!nimepata fununu soon yanatoka wanaitajika watu 300 ila GPA inamata hapo