Aaaaaiiiiseeee! Kazi ipo. Kazi ya kusifia kutwa kucha hata mke wangu hawezi kukubali japo hana kazi kwa sasaUsiposifia hivi watoto wako watakula nini sasa?
Mkutano wa ndani lakini wanasema eti honi za magari kuelekea kunako zilivunja amaniKosa lililopelekea kukamatwa ni nini?
Honi?!Mkutano wa ndani lakini wanasema eti honi za magari kuelekea kunako zilivunja amani
Shida eti iko hapo
Tulia akison akina polepole CCM yote wanafanya siasa safi huko walipo? Acheni uonevu kumbuka hakuna mabaya yasiyo na mwisho ipo siku ya Sudan ya Iraq ya Zimbabwe yatawapata CCM walikuwepo akina Iddy Amin dada, bokasa, mabutu wapo wapi sasa?Wajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
Kupokea maagizo unashindwa kutambua wajibu wakoHoni?!
Mbona misafara mingi tu ya Harusi huambatana na Honi na hata Matarumbeta?
Dawa yao ni kuwafungulia kesi mahakama ya uhalifu wa kimataifa The HagueKupokea maagizo unashindwa kutambua wajibu wako
Polisi hawajitambui kwa sababu wanatumika kwa faida ya wachache
Polisi wanaopokea maagizo na kuyatekeleza bila kujiuliza mantiki yake, Wanadhalilisha sana Taaluma.Kupokea maagizo unashindwa kutambua wajibu wako
Polisi hawajitambui kwa sababu wanatumika kwa faida ya wachache
Ni nani kwaniMtake radhi kumwita kaka!
Ni nani kwani
Mi nikiona waafrika wanasikitika wanayofanyiwa weusi wa USA,nashangaa,na napata kichefuchefu kwa unafiki huu,Makaburu weusi ni wabaya kuliko wale SA
Hizo safi za magufuli ni hizi za kukamata wenzake na kuwatia korokoroni?Wajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
Ipo siku watstsfutana, hakuna marefu yasiyo na nchaIla mkuu yeye majuzi alikutana na wafuasi wake pale ubungo hadi akakaa nao chini(kwny barabara) bila kubugudhiwa na mtu.
Utoto na ujinga unaoongeaWajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.