UPDATE: Zitto, Bwege na wenzake wasafirishwa usiku kutoka Kilwa hadi Lindi. Waachiwa kwa dhamana

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,042
2,000
Safirisha bina adamu usiku na gari la wazi mwezi huu wa sita. Halafu watu wakiitwa washenzi wanatoa vitisho.
 
Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
2,978
2,000
Wajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
Kufanya vikao ni Siasa mbaya?
Yaani unashangilia watu kwenda Lumpango....Hivi unajua aliko Bashiru Ali wa Sudan,Hussein wa Iraq,Amin wa Uganda, Hitler wa Ujerumani?
 
Tiba Mubito

Member
Jun 8, 2020
93
125
Wajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
Walifanya siasa mbaya zipi ili tusaidie kuwashauri? Ukaburu ni jambo baya sana, ubaguzi kwa misingi ya itikadi hauwezi kutubakisha salama.

Mazuri mengi au yote yaliyofanywa awamu hii yanafunikwa na matukio ya unyanyasaji kama haya.

Tukumbuke hata wakoloni walijenga miundo mbinu ya reli,bandari,barabara,shule,hospital,walianzisha vyanzo vya umeme lakini walifukuzwa kwakua walikua wabaguzi,kwakua walikua wananyanyasa wananchi kwa misingi ya rangi,sasa ni misingi ya itikadi.

Tofauti ya mkoloni wa zamani na sasa ni nini?

Tukumbuke AMANI ni.tunda la HAKI, bila HAKI hakuna AMANI
 
monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
9,282
2,000
Wajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
Huwa najiuliza,wewe Kawe Alumni uliumbwa na Mungu tunayemuabudu au uliumbwa na Shetani? haiwezekani mwanadamu mwenzio ndani ya Taifa lako anatendewa ubaya halafu wewe unafurahia!

Je,ingekuwa huyo Zitto ni ndugu yako wa damu ungeyafurahia hayo yanayompata?
 
indian mark 2

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
380
500
Ujue kuna vitu ukijalibu kuwaza unaona acha tu meko afanye anavyotaka kwasababu hata hawa wapinzani hawana misimamo hata punje na huwa wanatuangusha sana pale tunapowategemea kwa 100% alafu mwisho wa safari unasikia naunga juhudi dah'''unatamani utukane matusi makubwa lakini tu huna budi """ sasa mimi nasema hivi hakuna sijui lissu,zitto,wala mbowe hivyo acheni tu mzee baba awafanye vile anavyotaka kwakuwa wao wenyewe waoga na hawana misimamo.

Kwakumalizia ni hivi kwa huu upinzani tuliokuwa nao sisi hap nchini tusahau wakuja kumtoa meko pale feli.
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,942
2,000
Wajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
Kuna mmoja yupo kwenye friji mida hii aliukimbiza Sana upepo kuwatesa warundi, akidhani anaweza ibeba dunia,kafa hata mda wa kuficha pesa nje ajapata.
So ni marudio tu.
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,942
2,000
Ujue kuna vitu ukijalibu kuwaza unaona acha tu meko afanye anavyotaka kwasababu hata hawa wapinzani hawana misimamo hata punje na huwa wanatuangusha sana pale tunapowategemea kwa 100% alafu mwisho wa safari unasikia naunga juhudi dah'''unatamani utukane matusi makubwa lakini tu huna budi """ sasa mimi nasema hivi hakuna sijui lissu,zitto,wala mbowe hivyo acheni tu mzee baba awafanye vile anavyotaka kwakuwa wao wenyewe waoga na hawana misimamo.

Kwakumalizia ni hivi kwa huu upinzani tuliokuwa nao sisi hap nchini tusahau wakuja kumtoa meko pale feli.
Wapinzani au wananchi uoga wao ndio maumivu yao
 
viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,998
2,000
Taasisi za kibalozi za nje wanakusanya data tu, tusije kulaumiana huko mbeleni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom