UPDATE: Zitto, Bwege na wenzake wasafirishwa usiku kutoka Kilwa hadi Lindi. Waachiwa kwa dhamana

Huyu mshamba mwisho wake unakuja
1592575.jpg
 
Wajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
Tulia akison akina polepole CCM yote wanafanya siasa safi huko walipo? Acheni uonevu kumbuka hakuna mabaya yasiyo na mwisho ipo siku ya Sudan ya Iraq ya Zimbabwe yatawapata CCM walikuwepo akina Iddy Amin dada, bokasa, mabutu wapo wapi sasa?
 
Honi?!
Mbona misafara mingi tu ya Harusi huambatana na Honi na hata Matarumbeta?
Kupokea maagizo unashindwa kutambua wajibu wako
Polisi hawajitambui kwa sababu wanatumika kwa faida ya wachache
 
Hii Tabia mbaya ya kuwabambikia kesi wapinzani itakoma lini? au imekuwa sera ya utawala huu wa Naibu Rais ndugu Daud Bashite na mtukufu
 
Kupokea maagizo unashindwa kutambua wajibu wako
Polisi hawajitambui kwa sababu wanatumika kwa faida ya wachache
Polisi wanaopokea maagizo na kuyatekeleza bila kujiuliza mantiki yake, Wanadhalilisha sana Taaluma.

Walau watekeleze hayo maagizo kwa kutumia Logic siyo tu kukurupuka.
 
Huu ujinga wa CCM ipo siku utafika mwisho hakuna mabaya yasiyo na mwisho hata Sudan police walinyanyasa wapinzani wee lakini ikaja kufika mwisho sasa Rais yupo jela
 
hapo kwa haraka haraka unaweza ukadhani wanateseka kwa ajili ya wananchi ... kumbe ni mambo ya mtonyo tu
 
Makaburu weusi ni wabaya kuliko wale SA
Mi nikiona waafrika wanasikitika wanayofanyiwa weusi wa USA,nashangaa,na napata kichefuchefu kwa unafiki huu,
Wananchi wa Africa,wanatendewa ukatili wa kutisha na viongozi wao,kuliko hata hao weusi,
Viongozi wa afrika,ni makatili kuriko hata makaburu
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom