...mkuu ata mimi nimeziskia taarifa hizi kama wewe,nina-maana sina uhakika wakutosha kukudhibitisha hilo...kama hizi taarifa ni zakweli basi mabenki yatumie anuani na namba zetu za simu tulizojaza awali kwenye fomu tulizofungulia hizo akaunti kukutaarifu kuhusu hayo mambo mapya...kuna habari kuwa kila mwenye account bank anatakiwa ku-update kwa kujaza form kama vile anaanza kufungua account upya,nimesikia mwisho ni tarehe 31 march 2012 na ikifika tarehe hiyo bila ku-update account unafungiwa akanti yako..mwenye taarifa ya uhakika atujuze na consequence kwa atakaepuuza!
kwa hoyo deadline siyo leo kama alivyosema mkuu hapo juu ni tareheNi kweli nilienda CRDB ku update kwa kifupi wanataka uhakiki wa address yako, yaani kitambulisho chenye eneo unaloishi, kadi ya kupigia kura, kitambulisho toka serikali ya mtaa, dole gumba, sahihi na declaration ya kipato chako kwa mwaka. Zoezi la dkk 5 kama umeenda na copy zako. CRDB walisema mwisho 31st March. Nilipowauliza mbona hawataarifu wateja kwa email badala yake wamebandika tangazo mlangoni hawakuwa na jibu badala yake ilionekana kama kichekesho.
Kwa bank ya CRDB deadline ni leo, Barclays 31st March, Akiba 15th March....nimesikia Twiga Bancorp hadi April.
Please notify all your friends wenye account zao CRDB.
iweje wasumbue watu tunaoishi vijijini ketaketa na tanganyika masagati.
kuna habari kuwa kila mwenye account bank anatakiwa ku-update kwa kujaza form kama vile anaanza kufungua account upya,nimesikia mwisho ni tarehe 31 march 2012 na ikifika tarehe hiyo bila ku-update account unafungiwa akanti yako..mwenye taarifa ya uhakika atujuze na consequence kwa atakaepuuza!
.
Tatizo la Taasisi za SErikali ni kwamba huwa wanaanzisha utaratibu kisha utekelezaji wake ni muda mrefu. Leo wanatangaza Deadline lakini utashangaa hili ni zoezi ambalo ni kubwa sana. sidhani kama wanaweza kuwafikia watreja wote kwa kipindi kifupi hiki,
mfano kulikuwa na utaratibu wa kubadilisha Leseni za kuendesha magari (driving License) wakatoa na deadline, lakini mwisho zoezi likawa nigumu hivyo wakabadilisha utaratibu.
Mfano mwingine kulikuwa na zoezi la kusajili namba za Simu, wakatupelekesha mbio na deadline zao, mwisho imekuwa kimya, leo unaweza kununua line mpya na ukaitumia upendavyo pasipo kusajili.
HIVYO SERIKALI HUWA INAKUJA NA MAMBO YA ZIMAMOTO TU.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
kwa hoyo deadline siyo leo kama alivyosema mkuu hapo juu ni tarehe
31/march/2012 maana wengne tupo mbali kweli
Exim? Hawa hata web yao haioneshi kama kuna chochote kinatokea. Wengine hata hatupo nyumbani na kuja huko majaaliwa.
Hatutaibiwa kweli?