Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Pole sana mkuu ila ni moja katika njia za kutafuta hili nalo litapita mkuu kesho yetu itakuwa vizuri naamini maana katika hii dunia kila mtu ridhiki yake huja kwa wakati wake hasara ni moja ya mapito ya opportunist hata uki invest lazima ukubali hasara pia bila kuwa unaangalia faida tu pekee.Mkuu hawa jamaa imebidi tu tuwafate mguu kwa mguu kujua zaidi juu ya kile kilichotokea. Majibu yao ni kwamba nafasi 11 zilizotangazwa zilitangazwa kimakosa na walifanya marekebisho ikawa nafasi 1 badala ya 11. Kwa hiyo selection ya watu 4 wenye ufaulu wa alama 90 na 80 umezingatia uwiano wa nafasi moja tu. Tuliendelea kuwauliza kuwa kama mlifanya marekebisho ya nafasi kutoka 11 hadi 1 kwa nini walishindwa kuujulisha umma, hapo walikosa majibu sahihi badala yake waliendelea kutuomba tu samahani kwa kusema makosa yametendeka kwa kushindwa kuujulisha umma kwa Wakati.
Badala ya majibu hayo sisi tuliondoka kwa kushukuru tu kwa yote yaliyotokea. Kwa sasa tunajiandaa na maandalizi ya kurudi mikoani tulikotoka tukaendelee na harakati za kutafuta riziki. Bado naamini Kesho yetu ni kubwa sana pia nimejifunza jambo kutokana na kilichotokea bila kuangalia HASARA tulioingia mifukoni.
Ukweli mkuu. HASARA ni sehem ya utafutajiPole sana mkuu ila ni moja katika njia za kutafuta hili nalo litapita mkuu kesho yetu itakuwa vizuri naamini maana katika hii dunia kila mtu ridhiki yake huja kwa wakati wake hasara ni moja ya mapito ya opportunist hata uki invest lazima ukubali hasara pia bila kuwa unaangalia faida tu pekee.
Pole sana ila inabidi uwe specific. Unaenda kwenye interview na ukagundua mlioitwa ni wengi kuliko mahitaji inabd uwe straight yaaan iwe ni written au oral basi mention only na usilete mbwembwe maana wao sio waalimu waanze kusoma maelezo yako ila kama wadahiliwa mko wachache basi jiachie na usilaze damu..Hawa jamaa wanapaswa kujitafakari upya hasa kipengele cha usahishaji wa hyo mitihani for sure sina Iman nao kabisa ikiwa majbu niliyoandika kwenye paper baada ya kutoka naenda kuyahakiki kwenye daftri na kwenye mtandao unakuta tofauti labda ni point moja tu kwa kila swali inakuwaje napta marks za kiwango kile? Daa wanakera sana kingine ikiwa wako Fair ule umati wa watu sio rahisi kufanya marking ndani ya masaa 24 tayr wametoa majbu hata kma wanagawana hizo kazi by professional. Ikiwa utumishi wanalalamikiwa cjui sasa tuende wapi? Bado michezo michafu inafanyika sana no transparency as it was expected. Daa chozi la samaki huenda na maji
Swali linakutaka explain and not mention au unaambiwa describe in details sasa utamenshen?Pole sana ila inabidi uwe specific. Unaenda kwenye interview na ukagundua mlioitwa ni wengi kuliko mahitaji inabd uwe straight yaaan iwe ni written au oral basi mention only na usilete mbwembwe maana wao sio waalimu waanze kusoma maelezo yako ila kama wadahiliwa mko wachache basi jiachie na usilaze damu..
Private ni sawa maana wanachambua na kubakiza watu wachache na government nikwa nafasi za juu tuu. Huwezi ukawa na watu 200 halaf uwaambie explain tena kwa maswali 6Swali linakutaka explain and not mention au unaambiwa describe in details sasa utamenshen?
Uaminifu +Juhudi= ......Hapo napo tatizoo,
Mie nilianzaga kufyt nikiwa na zero kabisa just uaminifu na juhud ilinisaidia
Sio hawana pa kuanzia,uthubutu vijana wa kileo hawana hakuna maisha mazuri bila kupitia changamoto.ukidhamilia kutoboa pambana na Mungu ni wa wote wenye mwiliHongera mkuu but usichoke kupambana na kuzidi kuinua vijana wenzio ili nao wapate mwanga kama wako maana wengine hata hapo ulipopata pakuanzia wewe hawana ndo tatizo
Kwa usaili upi mkuuKama wa account assistant maswali ni aina gani jamani msaada
Kwa serikalini maana yatakuwa yanashabihianaKwa usaili upi mkuu
Kama utumishi komaa na Bank reconc,GAAP,Subsidiary Books(Zote 6 kama si 7) like petty cash,Journal etc,Depreciation of fixed asset,Accounting Ratio,Cost Flow Method,F.S,Correction of Errors,TISS,Classification of accountsKwa serikalini maana yatakuwa yanashabihiana
Hii interview imefanyika wapi kwani
Mambo ya Ngorongoro hayo
Arusha>Tengeru>IAAHii interview imefanyika wapi kwani
Asante mkuu maana najiandaa hapa na interview UDOM na sijawahi hudhuria interviewKama utumishi komaa na Bank reconc,GAAP,Subsidiary Books(Zote 6 kama si 7) like petty cash,Journal etc,Depreciation of fixed asset,Accounting Ratio,Cost Flow Method,F.S,Correction of Errors,TISS,Classification of accounts
Kaza humo nimechambua baadhi ya pepa za Utumishi kama 6 hivi huwa maswali yako based humo pia usisahau pepa linaweza geuka likaja la general knowledge kila la kheri mkuu.
Sikupata ile ila humu nadhani wapo walopiga hiyo pepa ila tembea humo nilipokupa mwanga hawawezi toka zaidi ya humo kwa accounts assistant nakuhakikishia ukitoka lazima uje una kenua humu pia usisahu calculator just in case.kila la kheriVP hujapata zilizofanyika NCAA accounts assistant ilikuwa dizaini gani