Update ya siku ya upanda miti leo Oktoba mosi

Update ya siku ya upanda miti leo Oktoba mosi

Mimi nimepanda pale round about ya Kawe. Nilikuwa pamoja na wanafunzi wangu wa Makongo...c & p
Mkuu, eti, eti, nimewahi kusikia kua Walimu wa pale hua mnaingia darasani mkiwa na full combat na AK-47 begani, chaki mkononi, kitabu kwapani... ni kweli hayo?
 
Kama mheshimiwa makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alivyotangaza kuanza upandaji miti maeneo mbalimbali ifikapo siku ya leo ya oktoba mosi.

Wale mlio kwenye shughuli hiyo muhimu kwa ustawi wa mazingira tupeane taarifa ya zoezi linavyokwenda, vile vile kuwajulisha wengine sehemu ambayo miche ya miti inatolewa kwa wanaopanda miti.

OKTOBA MOSI NDIO LEO.

Makonda: Oktoba Mosi ni siku maalum ya upandaji miti Dar | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Majambazi yanatesa Goba wala hana Habari
 
Hawa UKAWA wana mbinu za ajabu saana.....hii mpua bado iko jikoni"Wanaanzisha kampeni ya kuosha watu walioathirka na funza miguu yao kwa kutumia dawa"Inasemekana viongozi wakuu watakuwa field wakifanya hiyo kazi kwa mikono yao.Tetesi zaidi ni kwamba wanaanzia kwenye wilaya zilizoathirika zaidi.Haya....tusubiri.
 
Kama mheshimiwa makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alivyotangaza kuanza upandaji miti maeneo mbalimbali ifikapo siku ya leo ya oktoba mosi.

Wale mlio kwenye shughuli hiyo muhimu kwa ustawi wa mazingira tupeane taarifa ya zoezi linavyokwenda, vile vile kuwajulisha wengine sehemu ambayo miche ya miti inatolewa kwa wanaopanda miti.

OKTOBA MOSI NDIO LEO.
Vizuri, lakini mie niliwahi panda ikakua vizuri, TANESCO wakaja wakakata pamoja na kuwa mbali na nyaya zao!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom