Ali hassan mwinyi road wameweka na mabombaJe miti iliyopandwa itamwagiwa maji isikauke? Nimeona wamepanda barabara ya mandela pasipo kumwagia maji.
Mzee Warioba kafanya nini?Shikamoo mzee Warioba
Nimemkumbuka tu huyu mzee wetuMzee Warioba kafanya nini?
Wewe uliyemwelewa ulipanda mti? Yeye alipanda mti kama kielelezo?Hamkumuelewa Mh.Alisema mpande juu ya miti sio kupanda miche ya miti bhana hebu muwe wepesi kuelewa.
Kwahiyo na wewe ni mpiga jungu?JF kimekuwa kijiwe cha majungu.
Siasa tu.Mkishapanda iyo miti nashauri wafungue vigrocery njiani walevi wamwagilie na mikojo
Mimi nilichoona ni mau yanayopandwa nasikitika ela zilizotumika kwenye hili zoezi ingeweza kuwanunulia wagonjwa machungwa wakaongeza madini